Mmmhhh kweli maendeleo yanatusaidia lakini mmhhhh

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Kuja kwa technologia kila mmoja kumemshika kivyake na kuna baadhi ya mambo watu hatuwezi kabisa kuacha au kwa mara ya kwanza yalituchanganya.
Mimi mara ya kwanza natumia choo cha kukaa tangu naanza kutumia hadi leo siwez kukaa maana nahc kama naji.....
kwakweli hadi kesho kwa choo kile nitapanda na viatu tu.
Haya kuja kwa hivi vipya vipya wewe umeguswa na kipi?
Je umeacha au hadi leo unaendelea?
 
Aisee, kweli tuko tafauti. Pole, siku utaporomoka uvunje shingo ndo utajua ushamba hauna mwenyewe.
 
Mie hivi vifanyio mara ya kwanza nilivaa kidoleni kumbe sikumuelewa aliyekuja kutupa semina kwani na yeye wakati anatoa mfano alikuwa anavaa kidoleni nikadhani ndo matumizi yake, nilikuja gundua baadae:cool::banghead::):)
 
Hahahahaha...kushtuka tayari ushampata V! Lol
 
Kuja kwa technologia kila mmoja kumemshika kivyake na kuna baadhi ya mambo watu hatuwezi kabisa kuacha au kwa mara ya kwanza yalituchanganya.
Mimi mara ya kwanza natumia choo cha kukaa tangu naanza kutumia hadi leo siwez kukaa maana nahc kama naji.....
kwakweli hadi kesho kwa choo kile nitapanda na viatu tu.
Haya kuja kwa hivi vipya vipya wewe umeguswa na kipi?
Je umeacha au hadi leo unaendelea?

Dah,hapo kwenye choo cha kukaa ha ta mie naona ni kuchafuana tu.
 
Mie hivi vifanyio mara ya kwanza nilivaa kidoleni kumbe sikumuelewa aliyekuja kutupa semina kwani na yeye wakati anatoa mfano alikuwa anavaa kidoleni nikadhani ndo matumizi yake, nilikuja gundua baadae:cool::banghead::):)
Mkuu Baba V inabidi uanze kutumia ARV.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom