mmmh! Jamani!!

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Kwenu wana jamvini naja kwenu kama kawa na mada hii hivi karibudi kumezuka tabia ya ajabu ndani ya ndoa wanawake wengi wamekua wakilalamika kuwa waume wao wamekua wakitaka mtindo wa kuruka ukuta yaani TIGO lakini pia huko U.S.A asilimia 40 ya wamerakani hufanya mchezo huo.mmmmh!! Jamani ni kipi kinapelekea watu kushabikia mtindo huu ambao ni kinyume cha mila na desturi za kiafrica??
 
kwani tukizungumzia tena kuna ubaya gani?? Au nawewe ni member? kwenye hicho chama coz naona kama umekasirika vile.Acha hizo lizzy.
 
Kwenu wana jamvini naja kwenu kama kawa na mada hii hivi karibudi kumezuka tabia ya ajabu ndani ya ndoa wanawake wengi wamekua wakilalamika kuwa waume wao wamekua wakitaka mtindo wa kuruka ukuta yaani TIGO lakini pia huko U.S.A asilimia 40 ya wamerakani hufanya mchezo huo.mmmmh!! Jamani ni kipi kinapelekea watu kushabikia mtindo huu ambao ni kinyume cha mila na desturi za kiafrica??
nikisema unakurupuka utaudhika kwa lipi?
Eti "Wanawake wengi' ni wapi hao tuwekee source na siyo hisia za mtaa.Au umetokea Pemba jana usiku.
40% america tuwekee link tusome

by the way sredi yako zee sana
 
Kwenu wana jamvini naja kwenu kama kawa na mada hii hivi karibudi kumezuka tabia ya ajabu ndani ya ndoa wanawake wengi wamekua wakilalamika kuwa waume wao wamekua wakitaka mtindo wa kuruka ukuta yaani TIGO lakini pia huko U.S.A asilimia 40 ya wamerakani hufanya mchezo huo.mmmmh!! Jamani ni kipi kinapelekea watu kushabikia mtindo huu ambao ni kinyume cha mila na desturi za kiafrica??

shetan chanzo.
na upuuzi wa kuiga kila jambo.
 
jamani ni kwa mujibu wa jarida la US MIGAZINE.Ambalo liliendesha huo utafiti.na kwa mujibu wa utafiti asilimia 40 ya wamerekani hufanya mchezo huo kati ya wamarekani mil tisini na mbili walio hojiwa.Pia katika utafiti huo kati ya watu kumi wa nne hufanya mchezo huo huko MAREKANI.
 
Huyu dogo sijui jamaa 'mann terry' kavamia jamvi kwa pupa! Alianza na kupost 'mambo ya kikubwa' kule JF Doctor...Invincible hakumla ban, tangu aingie huku basi post za 'kitoto toto'. Grow up bana, hili jamvi la kikubwa kama linavyoitwa..If its too hot for you to handle, just drop it like its hot! Lete thread za maana bana.
 
Jamani si kujua kama thread hii ingewakera nisameheni wakuuu."RIWA' PUNGUZA HASIRA.
 
kwenu wana jamvini naja kwenu kama kawa na mada hii hivi karibudi kumezuka tabia ya ajabu ndani ya ndoa wanawake wengi wamekua wakilalamika kuwa waume wao wamekua wakitaka mtindo wa kuruka ukuta yaani tigo lakini pia huko u.s.a asilimia 40 ya wamerakani hufanya mchezo huo.mmmmh!! Jamani ni kipi kinapelekea watu kushabikia mtindo huu ambao ni kinyume cha mila na desturi za kiafrica??

ni kutamu balaa...
Kunakajotoooo......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom