Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

kujirudia kwa matukio ni ishara kuwa serikali haisimamii maamuzi na sheria zake. Huyu ni wapili kuua wadeni wake. Mmoja aliua akazika kabisa kesi yake sijui imeishia wapi. Huyu nae kaona akiua ataachiwa kwa kutumia pesa zake. Papaa Msofe kaua na kuachiwa. Albino na vikongwe wanauawa na wauaji wanaachiwa. Tanzania ndivyo ilivyo bwana!
 
Mhhhh! Hata Kikwete hawezi na haitatokea kujiamuria na kupiga mtu risasi, sembuse raia wa kawaida?? Hakuna haja ya upande wa pili wa shilingi, maana huo upande haupo tena duniani.

Huwezi kutoa hukumu kwa kuangalia upande mmoja! Lazima na yeye asikilizwe
 
Na habari kama hii kuwekwa vipande inaashiria kutotaka haki ifuate mkondo atajwe majina yote, iwekwe picha yake, shughuli zake anafanyia wapi, eneo, mtaa hadi jengo watu wamjue . . . . . Lakini jana habari haijamuonesha, hapa jina linakuja moja. . . . . .Kampuni J4 yeye anaitwa "Juma" ???!?!?

Mwenye taarifa kamili tafadhali

Kwa mujibu wa maelezo ya kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza Charles Mkumbo, mtuhumiwa aliwapiga risasi kadhaa kifuani kwa kila mtu na kisha kuweka visu na mapanga pembeni yao ili kupoteza ushahidi..!

Kama maelezo haya ni sahihi basi mtuhumiwa alipanga kuwaua na motive ni kwamba marehemu walikuwa wanamdai huyu mfanyabiashara milioni kadhaa.. Ni ukatili wa hali ya juu ambao haupaswi kuvumilika hata kidogo..
 
Asante kiongozi na ikifualiwa utakuta point blank shooting halafu yeye hata hajakwaruzwa na kisu wakati walikuwa wawili hao jamaa, . . . . .Poor framming. . . .
 
Kwa mujibu wa maelezo ya kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza Charles Mkumbo, mtuhumiwa aliwapiga risasi kadhaa kifuani kwa kila mtu na kisha kuweka visu na mapanga pembeni yao ili kupoteza ushahidi..!
Kama maelezo haya ni sahihi basi mtuhumiwa alipanga kuwaua na motive ni kwamba marehemu walikuwa wanamdai huyu mfanyabiashara milioni kadhaa.. Ni ukatili wa hali ya juu ambao haupaswi kuvumilika hata kidogo..
Sosoliso kweli inatia uchungu hasa ungemuona Kaka mtu alivyokuwa akilia alitamka hivi:-
"Kaka yangu ni Injinia alikuwa akidaiwa na J4 na alimtishia kumuua huu ni uonevu jamani naomba Serikali ichukue mkondo"alisikika Ndugu mtu katika ITV saa 3 usiku, na hata yule Dada wa Marehemu alionesha masikitiko Serikali kuwaachia watu km hao kwani yeye ndio Dada mkubwa ameachiwa familia hiyo
 
Pdidy hata mimi siamini kama nasoma kutoka kwako maana umeandika vizuri leo au unaogopa bakora za FaizaFoxy kwa wachafuzi wa lugha?
Mkuu huyu.n.headmaster wangu.ntake radhi au upendi kuona sifa zake humu kama si yeye nisingeandila vizuri hivi sijajua tu oct huko ukawa ama atabaki na.magukey
 
Last edited by a moderator:
The world is not fair...wanasema haki mbinguni ( kwa wanaoamini) duniani hapa masikini hana chake..
 
Sosoliso kweli inatia uchungu hasa ungemuona Kaka mtu alivyokuwa akilia alitamka hivi:-
"Kaka yangu ni Injinia alikuwa akidaiwa na J4 na alimtishia kumuua huu ni uonevu jamani naomba Serikali ichukue mkondo"alisikika Ndugu mtu katika ITV saa 3 usiku, na hata yule Dada wa Marehemu alionesha masikitiko Serikali kuwaachia watu km hao kwani yeye ndio Dada mkubwa ameachiwa familia hiyo

Mkuu marehemu ndio waliokua wakimdai Muuwaji nimeoa taarifa hii jana ITV na cloud tv inasikitisha kwa kweli kuona ndugu walivyokua wakilia namna ile, sheria ichukue mkondo wake na fidia juu ihusike
 
Sheria za nchi yetu haziruhusu kuua mtu kwa sababu yoyote ile!

Ni kweli ila mimi nadhani ukweli anaujua MUNGU. Kumbuka kwamba kuna self defence inawezekana alifanya kwa kuona asipofanya hivyo yeye ndo anakufa sheria zinaruhusu katika mazingira hayo maslaughter wanasema murder in second degree. Ila mimi sijasoma sheria japo pia ina adhabu but less penalty compared to murder
 
Kama akiachiliwa basi maisha yake yatakuwa hatarini, wananchi wanaweza kulipiza kisasi
 
The world is not fair...wanasema haki mbinguni ( kwa wanaoamini) duniani hapa masikini hana chake..

Binafsi natoa pole sana kwa wafiwa ila tumbukeni NOT GUILTY UNTIL PROVEN GUILTY.Mengine tumwachie MUNGU muweza wa yote.
 
Papaa msofe amefutiwa shitaka la kuua, huyo wadhani atafika kokote? We acha bongo iitwe bongo SHIKAMOO PESA

.
POLISI: pesa za Manji zilizokamatwa hotelini sii za Manji bali ni za mhindi aliyekamatwa nazo. zilikuwa ni za kununulia mazao(mtama). lakini ghafla akaamua azirudishe bank baada ya kuona watu wengi hotelin.
sasa tunajiuliza mtama(mazao) ni wajumbe wa nec/mkutano mkuu ccm?
ukistaajabia ya Mkurunzinza utakutana na ya JK!
 
Mkuu marehemu ndio waliokua wakimdai Muuwaji nimeoa taarifa hii jana ITV na cloud tv inasikitisha kwa kweli kuona ndugu walivyokua wakilia namna ile, sheria ichukue mkondo wake na fidia juu ihusike
Mkuu nimekubali hapo kwenye RED
hivi huyu J4 ndio ameona amelikwepa hilo deni la 25m wakati kawatesa wanandugu na familia naomba na yeye apotezwe
Tukio hilo limetokea majira ya saa nne usiku wa kuamkia leo katika eneo la Boma lililopo kata ya Nyakato, baada ya mtuhumiwa Juma Mahende kumuita Marehemu Cloud Skalwanda, na mwenzake Ally Mohamed mkazi wa kata ya Igoma kuzungumza masuala ya kibiashara.
Baada ya tukio hilo nyumbani kwa Marehemu Ally Mohamed kata ya Igoma, simanzi na vilio pia vikatawala, huku chanzo cha mauaji hayo kikielezwa kuwa marehemu hao walikuwa wakimdai mtuhumiwa shilingi milioni 25/=.
 
Ni kweli ila mimi nadhani ukweli anaujua MUNGU. Kumbuka kwamba kuna self defence inawezekana alifanya kwa kuona asipofanya hivyo yeye ndo anakufa sheria zinaruhusu katika mazingira hayo maslaughter wana<script id="gpt-impl-0.8438278529793024" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_63r.js"></script>sema murder in second degree. Ila mimi sijasoma sheria japo pia ina adhabu but less penalty compared to murder

Acha propaganda nyepesi mzee, self defence kaua watu wawili? ?!!
Lethal shots? ?!!! More than once??!!

Unajua stopping power ya bullet??!! Hao watu walikuwa wana mafunzo gani??!!
Hebu ficha aibu yako
 
Hapa si kuangalia upande wa shillingi, NO.. this is an open and close case: 1ST DEGREE MURDER.

Unapopewa lisensi ya kumiliki silaha unasisitizwa kutoua. Unaelekezwa namna ya kujihami na mtu ambaye anakutishia kukutoa roho..Ua tu kama naye karusha risasi.

Nimepata hasira ya ghafla kwa sababu tabia ya Mahende inajulikana. Nimekumbuka tena ile kesi ya pale Lugalo njia panda ya Kawe. Inatia hasira sana.

Huyo mkurya ni jeuri na kiburi kisichomithilika kwa sababu ya pesa ya ujambazi na dhuruma..
 
Hii tabia imeanza kushamiri yaani unamdai mtu hela nyingi unapoanza kudai hupewi ukitumia lugha kali mdaiwa anakuuwa.
Kwa hiyo mtu asidai haki yake? Imekuwa kama seamans waliokuwa wanafanya kazi meli za ugiriki jamani?

Ahahaha,eti kama meli za kigiriki?asa hv ukienda kumdai kibopa,nenda na manjagu very heavily armed,labda ndo utasalimika
 
Ngoja baada ya wiki utasikia mtuhumiwa aliua bila kukusudia mahakama imehukumu kifungo cha mwaka 1 au faini laki tano
 
Back
Top Bottom