Nyalutubwi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 573
- 172
Umemsahau kinara wao Matata.Mabula gani mkuu?
Umemsahau kinara wao Matata.Mabula gani mkuu?
Sitapanda tena mabasi yake ya Kwenda Kampala.
Mshitakiwa yuko nje akingoja uchunguzi wa Polisi ukamilike
Mmmmmhhh.. Kumbe alikuwa keshaaza na route za kwenda Kampala... Kuna mdau katoa comment huko nyuma kuwa tupige kampeni watu wasipande mabasi yake muuaji huyu!
Ana basi mpya zinapiga route za Mwanza Kampala,Kampala Mwanza kila siku na zina mwendo kama zimebeba meno ya tembo.
Kwani kuwa na silaha si ruksa kulingana na sheria zake na umiliki wake' na matumizi yake pia! ss suala la mtu kuitumia either kwa kujihami au lah inahusu vipi ccm!!? hayo ni matatizo ya mtu binafsi na mnashangaza nyie mnao husisha hata ugomvi wa kuku ku'uhusisha na na siasa mara ccm, kwahiyo mnataka nchi iongozwe na nani ili hata hao kuku wakigombana yawe matatizo yao binafsi na sio siasa!? ' kwanza hii nadharia mmeitoa wapi!?! Tuachane na ligi za kipuuzi
Ana basi mpya zinapiga route za Mwanza Kampala,Kampala Mwanza kila siku na zina mwendo kama zimebeba meno ya tembo.
Waliouawa ni Ali Mohamedi na Claudia Sikarwanda. Star TV imeripoti kuwa mmiliki wa mabasi ya J4 Bw.Juma Mahende amewapiga wafanyabiashara wenzake wawili kwa risasi mbele ya ofisi yake na kufariki papohapo.Hatari hii imetokea Mwanza.
Jeshi la polisi limemkamata na kumtia ndani muuaji. Kamanda wa polisi wa Bw.Mkumbo amethibitisha kutokea kwa tukio hili. Ndugu wa marehemu wanasema jamaa waliouawa na muuaji walikuwa wanadaiana 25Milion. Inashangaza na kuhudhunisha kama haya yanaweza kutokea Tanzania.
Roho za wapenzi wetu (hata kama wana makosa) zinapotea kwa namna ya kikatili. Cha ajabu usishangae kukutana mitaani na muuaji akiwa huru.
Pale nyakato anakaa mtaa gani?. Au ndio huyu anayekaa mitaa ya nundu.? Weka Picha yake nitakupa taarifa zake
Mmiliki ni alhaji nini?!
Aaaargh kumbe ulikuwa unaweka ligi ya kipuuzi. . . . .haya salam zao
Tunaona vibaka wakiuliwa kila siku na mpaka kuchomwa moto.
Tunataka tujuwe upande wa pili wa shillingi, kwanini amewapiga risasi?
Mmiliki ni alhaji nini?!
Mhhhh! Hata Kikwete hawezi na haitatokea kujiamuria na kupiga mtu risasi, sembuse raia wa kawaida?? Hakuna haja ya upande wa pili wa shilingi, maana huo upande haupo tena duniani.
Khaa!! Mbona mamvi pamoja na makontena yake ya pesa lakini amekatwa?
Nchi hii inahitaji mtu mwenye maamuzi magumu na sahihi.
Tunaona vibaka wakiuliwa kila siku na mpaka kuchomwa moto.
Tunataka tujuwe upande wa pili wa shillingi, kwanini amewapiga risasi?