Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

fred tarimo

Member
Oct 3, 2011
10
5
Mkurugenzi wa mabasi J4 expres bwana Juma Mahende ni nani? Kwanini akatishe maisha ya watu wawili kirahisi namna hiyo...

Chanzo: ITV
==========

Waliouawa ni Ali Mohamedi na Claudia Sikarwanda. Star TV imeripoti kuwa mmiliki wa mabasi ya J4 Bw.Juma Mahende amewapiga wafanyabiashara wenzake wawili kwa risasi mbele ya ofisi yake na kufariki papohapo.Hatari hii imetokea Mwanza.

Jeshi la polisi limemkamata na kumtia ndani muuaji. Kamanda wa polisi wa Bw.Mkumbo amethibitisha kutokea kwa tukio hili. Ndugu wa marehemu wanasema jamaa waliouawa na muuaji walikuwa wanadaiana 25Milion. Inashangaza na kuhudhunisha kama haya yanaweza kutokea Tanzania.

Roho za wapenzi wetu (hata kama wana makosa) zinapotea kwa namna ya kikatili. Cha ajabu usishangae kukutana mitaani na muuaji akiwa huru.
 
Na habari kama hii kuwekwa vipande inaashiria kutotaka haki ifuate mkondo atajwe majina yote, iwekwe picha yake, shughuli zake anafanyia wapi, eneo, mtaa hadi jengo watu wamjue . . . . . Lakini jana habari haijamuonesha, hapa jina linakuja moja. . . . . .Kampuni J4 yeye anaitwa "Juma" ???!?!?

Mwenye taarifa kamili tafadhali
 
Tunaona vibaka wakiuliwa kila siku na mpaka kuchomwa moto.

Tunataka tujuwe upande wa pili wa shillingi, kwanini amewapiga risasi?

Mhhhh! Hata Kikwete hawezi na haitatokea kujiamuria na kupiga mtu risasi, sembuse raia wa kawaida?? Hakuna haja ya upande wa pili wa shilingi, maana huo upande haupo tena duniani.
 
Na habari kama hii kuwekwa vipande inaashiria kutotaka haki ifuate mkondo atajwe majina yote, iwekwe picha yake, shughuli zake anafanyia wapi, eneo, mtaa hadi jengo watu wamjue . . . . . Lakini jana habari haijamuonesha, hapa jina linakuja moja. . . . . .Kampuni J4 yeye anaitwa "Juma" ???!?!?

Mwenye taarifa kamili tafadhali
Upatikanaji wa habari kamili huwa unategemea mazingira ya tukio,inawezekana imekuwa vigumu kupata taarifa muhimu kwa wakati!
 
Mkuu Ole mimi nimeweka kadri nilivyosikia,lakini magazeti yame-detail zaidi,majina yote yametajwa ila sikulipata vizuri
 
Mhhhh! Hata Kikwete hawezi na haitatokea kujiamuria na kupiga mtu risasi, sembuse raia wa kawaida?? Hakuna haja ya upande wa pili wa shilingi, maana huo upande haupo tena duniani.
Teh teh teh!upande wa pili unapaswa kusikilizwa ni bwana Juma kutueleza kwanini aliua,labda maelezo yake yanaweza kuturidhisha kwamba alichofanya kilikuwa sahihi!
 
Je kama ni kujihami ? Tulieni mpaka habari kamili yeye siyo mjinga auwe tu! ! Maana ya kua na silaha nikujilinda ,sito vinginevyo
 
Upatikanaji wa habari kamili huwa unategemea mazingira ya tukio,inawezekana imekuwa vigumu kupata taarifa muhimu kwa wakati!

Mkuu fuatilia hili utakuja kugundua. . . . .Huyu mtu ni mfanyabiashara, atakuwa na driving licence n.k taarifa ya habari ilitoa picha za marehemu tu muuaji hajaoneshwa. . . .Matukio mengi yana asili hii ya kuficha wahalifu. . .Jipe muda fuatilia
 
Rafiki nimeshaweka nyama kidogo kupitia Star TV
 
Back
Top Bottom