Mmhuu? Kutakatisha pesa haramu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmhuu? Kutakatisha pesa haramu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Madoido, Mar 16, 2012.

 1. M

  Madoido Senior Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau wa jf!

  Hii maana yake nini? Eti kosa lisilo na dhamana...duh ebu nifahamisheni
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,911
  Likes Received: 1,948
  Trophy Points: 280
  Namuonea huruma kajala pfunk ma mumewe.

  Money Laundering:Kutakatisha fedha chafu(Dirty Money-Fedha haramu)
   
 3. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wanakuwaga na makaratasi fulani hivi yamekatwa kama hela hivi mara nyingi ni kwenye us dollars so wanachokifanya ni kuzisafisha kwa kutumia kemikali maalumu then itakuwa pesa kabisa na watu wengi wametajirika sana .
  hi biashara ni haramu na ni zaidi ya kuhujumu uchumi usijaribu
   
 4. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,582
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kusafisha pesa kwa kingereza ni "Money Laundering". Maana yake unaichukua pesa ambayo haijapatikana kihalali unaingiza kwenye mzunguko halali. Mfano pesa iliyopatikana kwa kuuza mihadarati, madawa ya kulevya au uharamia ni pesa haramu (dirty money). Pesa hii iliyopatikana kiharamia ukiingiza kwenye mzunguko wa pesa kwa kununua biashara halali, kujenga nyumba au kuweka kwenye bank hapo unakuwa umesishwa na kosa la kutakatisha pesa.

  Kosa hili ni kubwa sana duniani nzima, nchi kama Marekani unaweza kula miaka 50 kirahisi sana. Ndio maana wengine tulisema kwamba kwa nini Waziri Mramba na wenzie hawakufungulia kesi ya kutakatisha pesa? Hii ni zaidi ya kuhujumu uchumi.
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,750
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  you are not serious!!!!!!!!
   
 6. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,059
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  Na wale waarabu wa liotolewa kwenye luninga nao pia ni watakatishaji?,yule babu namjua ni maarufu sana Arusha.Nyumba yake ilipigwa mawe na kuunguzwa na moto kipindi kile cha maandamano ya CDM,nasikia polisi walimfuata ili wa asses uharibifu,Mzee aliwagomea akasema ni bahati mbaya.Hapo ndio bifu lilipoanza kisa kawakosesa ulaji.
   
Loading...