Mmh Kaumbwa %

Mmh Kaumbwa %

Hujaitendea haki...ikuuuuze kama hivi

attachment.php



Halafu ndo utuambie..umesema ni wa wapi? Hapo ndo huwa natamani ningekua JK

Hahahahahaaaa.. ungedaka ndege fastaaaaa..
 
ukikitamani sana chakula unakula kidogo, hivyo mm napotezea wala sijali, ila kula yangu ni hatari shekh
 
Mambo kama haya ndio yanafanya ndugu zetu waislam wajilipue maana wakienda ahela wanakutana na mizigo kama hii 40 kwa uchache alafu wanapewa nguvu ya kutumia mizigo mia
 
PENGINE MCHINA MAANA SIKU HIZI MMMHHHH sie ni wasichana na tunajijua...

2nd no one ambaye ni % kaumbwa...Lazima utakuta kuna kasoro..pengine si yakuonekana hivi nje ipo ndani
 
uongo neno usemalo...Hakuna dini iloamrisha ujilipue...Kujiua mwenyewe kwanza ni dhambi...Subiri Mungu akuchukue kwa hiyari yake sio wewe ujiue au uuwe mwenzio...

Hao wanaojilipua ni wale waliochoka maisha kama hao panya pori au mbwa mwitu wanaanza hivyo hivyo...




Mambo kama haya ndio yanafanya ndugu zetu waislam wajilipue maana wakienda ahela wanakutana na mizigo kama hii 40 kwa uchache alafu wanapewa nguvu ya kutumia mizigo mia
 
attachment.php


Aiseeeee .........!!!!!!!!!!!!!

dawa yake hii hapa...kama anabisha mwambie ani PM aone mziki wa mababu....chezea MKUYATI wa ukoo wewe.
 

Attachments

  • 7.jpg
    7.jpg
    2.7 KB · Views: 361
Back
Top Bottom