Uwiiii jamani nilikuwa wapi wakati mwenzangu anapewa yote hayo duh????
Yuko wapi?Haya huyo hapo amegeuka.
![]()
Mchina haongopi.
hahahhahaaa nilikua namfundisha tuition huyu pale Machi Machi, ilikua last week, hivi sikukwambia?Elli uje huku umuone weshu
IFM hiyo.
![]()
mmmh! hahaha, lazima atakuwa amekuelewa, kama bado arudi azidi kujifunza.hahahhahaaa nilikua namfundisha tuition huyu pale Machi Machi, ilikua last week, hivi sikukwambia?
mmmh! hahaha, lazima atakuwa amekuelewa, kama bado arudi azidi kujifunza.
Yaan mm mniite mjinga 2, nimependa kitovu chake nikimpata nitakibonyeza bonyeza mpaka ashangae..
Nilimpa Homework hajarudi hadi leo........