badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
Sasa ilo ziwa unapita mbele ya kidume rijari asiangalie na kupatwa tamaa ovyo aisee!
mhhhhhh wanaume mna kaziii
Sasa ilo ziwa unapita mbele ya kidume rijari asiangalie na kupatwa tamaa ovyo aisee!
Sasa ilo ziwa unapita mbele ya kidume rijari asiangalie na kupatwa tamaa ovyo aisee!
Husninyo vip Umepata mchuchu swahiba?
Inaelekea wengine hata hawajiangalii kwenye kioo kabla ya kutoka...!
Inaelekea wengine hata hawajiangalii kwenye kioo kabla ya kutoka...!
Siku hizi bana wadada wakivaa hizi skin tait zao yani zinabana wowo yaani mpaka hadi mchoro wa Pichu ndani na rangi yake unaonekana!
Ukikuta na nyonyo limebetuliwa juu mh!
Ni shidaa wajameni Punguzeni kututega jamani.
Ndio maana siku hizi hata kupenda kumeisha midume imebaki kutamani makalio tu ikishapiga mzigo inasepa kimyakimya! Mmh mjini jamani michepuko haitaisha!
Inaelekea wengine hata hawajiangalii kwenye kioo kabla ya kutoka...!
Pole kwa kutegwa kaka, kama vipi na wewe watege na six pak yako
Ngoja nijaribu kuaply mayb yaweza kuwa bahati yangu aisee
Usisahau kuambatanisha na "Salary slip" yako ya mwezi jana ama "Cash flow statement" ya mwaka jana kama ni mfanya biashara, vinginevyo unaweza kuta hata kwenye "interview" uitwi.
Usiwe unaangalia, kama waangalia basi tatizo ni wewe mwenyewe umejawa na tamaa