Mmh jamani wadada na skin tait zenu dah!

Mmh jamani wadada na skin tait zenu dah!

Majanga!! Hakuna Mapenzi Tenaa Eeeee!!! Ni Tamaa Tu Za Ngono!! Na Business Kwa Akina Dada!! Kwishinei!!
 
Shamkware ishinde tamaa hakika utapona.Alafu muwe mnaheshimu dada zetu sio kila unayemwona unamtamani.
 
Last edited by a moderator:
madai yao wanaenda na wakati, asee maisha haya
 
Pole kwa kutegwa uwe una fumba macho ukiwaona na wewe aaargh
 
Na wewe watege kwa hela! si mnategana bwana!
images
 
Shamkware ishinde tamaa hakika utapona.Alafu muwe mnaheshimu dada zetu sio kila unayemwona unamtamani.

mkuu tunategwa kila siku ndio maana ibilisi haondoki kabisa sijui kwanini wanavaa hivo?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh. .
Just ignore that's all
Pita kama hujaona kavaa tyt
 
Back
Top Bottom