Mmh jamani wadada na skin tait zenu dah!

..hizo nyonyo zilivyopigwa jeki, mwambie sasa avue 'jeki' uziangalie...majaaaaanga majanga!! lapa nakwambia.
 
Mhh kuna mavazi mwengine ni shidaa.mtu anajijua majaliwa af anavaa leggings na vest km anaenda mazoezi kumbe ndo mtoko huo,
mi naona they like 'attention' bila kujua ts the wrong kind...af bora mtu uwe na gari,sasa mvao ajabu af kwenye daladala mhhh
 
umeona eeeeeh yani full aibu kumwambia unashindwa unabaki kumezea tu
 
ukiona minyonyo imebenjuliwa njuu, ujue sindiria ikitolewa tu..... shughuli!
 
Wanatupeleka Nyege zii stendi ya basi na taiti vyao.
 
Mkuu sasa wakipita tuangalie chini au pembeni? Tutajikwaa halafu!

Endelea kuangalia yanayokuhusu...sio kila kitu ambacho jicho limekiona lazima ukiangalie mara mbili mbili

Kinachotafsiriwa katika ubongo wako ndicho kinachokupa hamasa ya kuendela kuangalia au lah...
 
Mhh kuna mavazi mwengine ni shidaa.mtu anajijua majaliwa af anavaa leggings na vest km anaenda mazoezi kumbe ndo mtoko huo,
mi naona they like 'attention' bila kujua ts the wrong kind...af bora mtu uwe na gari,sasa mvao ajabu af kwenye daladala mhhh

Yaani ni shida kwa kweli! Sijui hata nako toka wanaomjua hawasemi?!
 
ukiona minyonyo imebenjuliwa njuu, ujue sindiria ikitolewa tu..... shughuli!

4d.jpg
 
Yaani ni shida kwa kweli! Sijui hata nako toka wanaomjua hawasemi?!

hawasemwi naona ,mi nna rafk angu mmoja t.ako kulee guu guu lakn hvo vimini achaa..tukimuuliza anasema baba wala mama hawamuulizi akiwa anatoka
 
Kikwete nae angesain kama mseveni labda wangejirekebisha kidogo!
 
Endelea kuangalia yanayokuhusu...sio kila kitu ambacho jicho limekiona lazima ukiangalie mara mbili mbili

Kinachotafsiriwa katika ubongo wako ndicho kinachokupa hamasa ya kuendela kuangalia au lah...

Mkuu nadhani unaelewa kuwa ubongo unafanya kazi katika spidi ya ajabu! Huhitaji kuangalia mara mbili mbili ili uweze kupata picha ya kitu. Katika sehemu ndogo sana ya sekunde ubongo tayari umeshapiga taswira kichwani!

Ndiyo maana Museveni akaona dawa ni kupiga tu marufuku uvaaji wa ajabu ajabu!
 
Back
Top Bottom