Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,811
- 110,060
Mi hata nionee mwanaume mzuri kama nini hua sigeukii maana hua naona bado hajamzidi wangu hata robo,!
Basi una kheri kama macho yako umeyatia spidi gavana
Mi hata nionee mwanaume mzuri kama nini hua sigeukii maana hua naona bado hajamzidi wangu hata robo,!
kiboko yao ni museven