La haula.
Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume duniani na wanaume wenyewe ndio hivyo.
Tukubali tu kuwa na wake wenza. Wanaume wa kweli ni wachache sana.
Kumbutua teke?.....Sitaki naweza kushawishika....! Nikapata dhambi kwa kumbutua teke
afadhali... ntafanya mambo nikuweke ndani kama mke wangu wa nne.