Inasikitisha asilimia 85 ya vijana wa kitanzania wanapata kipato kwa njia hii halali na ya kujizalilisha hivi ilihali viongozi wa serikali wanachota mabillion ya kodi zinazolipwa na mlalahoi huyu bila chembe ya huruma.
Hahahahaaa hahahahaaa hahahahaaa umepata bonge la ID Ashki Majununi wewe kwa vyovyote vile ni mzoefu hapa jamvini, yani hii ID yako itanikumbusha escoro na chambo msambaa yule aso haya mwenye matusi ya waziwazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.