Mmh! Biashara hizi

Duuu kumbe niwewe kiongozi nimekuelewa
Kunielewa peke yake haitoshi bali chukua hatua.....kabisa umeshanidhalilisha kwa miss chagga......na pia umeshanivurugia mipango yangu kuna mtu nilishamwongopea kuwa mimi nipo usalama wa taifa tena kitengo nyeti kabisa..........dah....
 
Last edited by a moderator:

Huyu aliyetoa like hapa anahusika moja kwa moja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom