Mmepotea ghafla, mmeenda wapi?

kumbe ww ni profesheno testa? Natafuta mtu wa part time, nna kiwanda changu pale Tandale soko la nafaka.

Kama kazi nikuonja alcohol kuwandani.
Hawapimi kitu ..
 
Mie nilienda Madrasa!
Nimerudi, sasa mbona sikuoni!?
 
kumbe ww ni profesheno testa? Natafuta mtu wa part time, nna kiwanda changu pale Tandale soko la nafaka.

Hahahahahaha looh
Sante mwahego . Ndo umeniajiri au ?
Na ni brewery gani unatengeneza hapo
Tandale?
 
wengine hatujalipwa mshahara hivyo internet cafe tunaziogopa kama
kituo chaa polisi
 
usiulize sana hapa, ntakuPM. Unataka wakwibe biznes idea yangu?

Hahahahahaha looh
Sante mwahego . Ndo umeniajiri au ?
Na ni brewery gani unatengeneza hapo
Tandale?
 
Heee! Zinduna..nilikuwa nakusubiria, kumbe bado upo macho?

Sijalala niko hapa JF nachapa umbea na wanaume wasiotumia muda huu kuwa karibu na wake zao na watoto wao, wamebaki kukodolea macho skirini kutafuta udaku, Duh! wanaume wa Chit Chat kwa umbea, nimewavulia kibwaya!
 

We rais wa wabeba box mambo?
 
Kongosha karibu tusonge ugali. . . mi nilikua nachuma mboga ndo wenzangu wanachambua hapa.
 
Kiswahili sasa hivi ni kigumu, kila neno lazima ulitolee maana kabla ya kusema mengi.

Ulikuwa kwenye chuma mboga? Sitii neno.

Nyie kizazi hiki mwafaudu?!

Kongosha karibu tusonge ugali. . . mi nilikua nachuma mboga ndo wenzangu wanachambua hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…