Mmeona angan dar muda huu ndege nne za kijeshi zinapita kwa kasi

ahahaaa umenikumbusha mzee mmoja alikuwa rubani kijijini kwetu ndege ikipita wazee wote macho juu wanasema kijana hata kutupungia hataki we mwache tu ata akifa hazikwi hapa

hahahaha namkumbuka sana yule rubani.Nalog off
 
Back
Top Bottom