Mmemuelewa Bonge la dada

Mmemuelewa Bonge la dada

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
364
Reaction score
728
Kutoka kwenye jamhuri ya watu wa Facebook

Baada ya Taifa stars kunyimwa penalti

Hiki ndicho alichopost kwenye ukurasa

Wake Dansa Queen Fraison maarufu Bonge la Dada
Screenshot_20260105-205544.jpg
 
Kutoka kwenye jamhuri ya watu wa Facebook

Baada ya Taifa stars kunyimwa penalti

Hiki ndicho alichopost kwenye ukurasa

Wake Dansa Queen Fraison maarufu Bonge la Dada
View attachment 3525753
Akitekwa sisi tutasaidia kupaza sauti #free bonge la dada.

Vipi mzee WANGU CLEMENCE MWANDAMBO amesha patikanaaa... (Nachoka mie mzee wenu CLEMENCE MWANDAMBO in MWANDAMBO VOICE)
 
Sijui sababu ya VPN Picha na video sizioni kabisa!
Anachoongelea ni kwamba Refarri aliinyima Taifa stars penalt

Ili kuepuka vurugu za waarabu

Refarri alitanguliza amani kabla ya haki mwisho wa siku kaikandamiza Taifa stars

Nadhan kidogo umepata mwanga wa kinachoongelewa
 
Back
Top Bottom