Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,313
- 4,750
Akili za baadhi ya watu huwa hazieleweki zinavyofanya kazi. Yaani kweli mtu mliyemtukana wee na kutweza utu wake, mutawezaje kumuomba msaada kwa matatizo yanayowapata kutokana na laana ya matusi na matendo yenu?
Kwa nini sasa mnakuwa na wasiwasi na uoga tele munaposikia kuwa mtu huyo kaamua kuzunguka nchi nzima kwa chopa yale kujibu hayo matusi yenu? Si mulisema kazeeka na anapaswa akatulie tu nyumbani kulea wajukuu na kula hayo mamillioni ya pesa aliyohongwa na Abdul na Mama Abdul?
Mlifikiri uanaharakati ndiyo siasa au siasa ni uanaharakati? Subirinu Mwamba atakavyowafundisha.