Kulitokea nini?London mwaka 1666 yasijekutokea Dar es Salaam.
Hivi unahifadhi petrol ya nini na hali ikiwa mbaya lockdown inaanza? Utaendesha gari kwenda wapi? Lockdiwn ikiisha vituo vinafunguliwa.Kuelekea D9, siyo tu watu wameamua kuhifadhi vyakula majumbani mwao, ila pia wengi wamehifadhi pia madumu ya petrol kwa ajili ya bodaboda, bajaji na magari yao.
Natumai mmejiandaa yale yaliyotokea London mwaka 1666 yasijekutokea Dar es Salaam.
Tumekusoma wa kishuaHivi unahifadhi petrol ya nini na hali ikiwa mbaya lockdown inaanza? Utaendesha gari kwenda wapi? Lockdiwn ikiisha vituo vinafunguliwa.
Mimi gari yangu inakaa na maximum yake au minimum yake ile ile.