Mme wangu si mwaminifu

Mme wangu si mwaminifu

kiloleni

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
91
Reaction score
20
Mme wangu si mwaminifu hata kidogo anatembea na mfanyakazi mwenzake ambaye ni subordinate wake. Nimemvumlia nikijua atajirekebisha lakini naona ndo kabisa hadi safari za kikazi wanaongozana wote. Kibaya zaidi huyo mwanamke alishatembea na rafiki wa mme wangu. Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
 
waache wakichoka wataacha ,
wewe si anakujali bwana,hakuna mwanaume alotulia duniani
kula share yako ukishiba lala ,utakufa pressure bure
si anakuhudumia bwana kula kipande chako lala ndugu yangu
ila umuombee tu huyo pepo atoke Mungu tu ndo anaeweza kumbadilisha..kwa nguvu zako utoweza
 
hiyo ndio ndoa bibie...wanawaume kugegeda wanawake ni nature yetu sasa kubali yaishe.
kuhusu mume kugegeda demu ambaye rafiki yake ameshagegeda, hiyo ni competition tuu wanaume huwa tunatambiana.... ikiwezekana kama vipi mpanulie best frend wa mume akugegede na wewe
 
dah pole mnyime nanliu mwambie VAAA VAAA manake mmh life is too short , you can just get busy with other stuffs ata notice mwenyewe don't bother kumwuliza UKO WAPI SIJUI UKO NA NANI? ujue mijianaume ya siku hizi bana wala usiumize kichwa ila waweza mpa ratiba ya kusali pamoja labda atashtuka
 
Pole my dear,naelewa uko kwenye situation gani,kwakweli inaumiza sana lkn kumbuka kila lenye mwanzo lina mwisho wake,mwanamme kucheza mechi za nje ni yule asiye na heshima na mkewe,najua wengiiiiii wanazicheza lkn wengi wao hao wenye mapenzi na familia zao hujutia sanaaaaa baada ya mechi hizo,na wa dizaini hii huwa hawataki kabisa wake zao wapate habari yyte kuwa mumewe anakamua nje,ila wale wasio na adabu ndo utawaona kama huyo mumeo mpaka ww unajua,kiukweli mm kama ni mume wangu aliyenipenda nikampenda,aliyeniheshimu nikamuheshimu niliyempata kiuhalali(sio njia za panya)UGANGA/UCHAWI,nitamuuliza taratiiiibu tena tukiwa sehemu tofauti na nyumbani ntalipia hotel kabisaaaa,nimuulize huwa anavutiwa na nn kutoka kwangu,anapenda nimfanyie nn,namkwaza kwa yapi?nitamuhaidi kujirekebisha,lkn kama kuna mambo atayotaka nimfanyie lkn yapo nje ya uwezo wangu like(TIGO)nitamuelewesha madhala ya huduma hiyo kupitia vitabu vya dini kuwa imepigwa marufuku,najua itamchukua muda kuukubali ukweli lkn mwisho wa cku na kwa kumshirikisha Mungu atabadilika tu,time heals,ila yoooote haya nitamuhoji baada ya kuwa nimempa tamu yake na kinywaji akipendacho,nadhani umenisoma
Mme wangu si mwaminifu hata kidogo anatembea na mfanyakazi mwenzake ambaye ni subordinate wake. Nimemvumlia nikijua atajirekebisha lakini naona ndo kabisa hadi safari za kikazi wanaongozana wote. Kibaya zaidi huyo mwanamke alishatembea na rafiki wa mme wangu. Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
 
Pole my dear,naelewa uko kwenye situation gani,kwakweli inaumiza sana lkn kumbuka kila lenye mwanzo lina mwisho wake,mwanamme kucheza mechi za nje ni yule asiye na heshima na mkewe,najua wengiiiiii wanazicheza lkn wengi wao hao wenye mapenzi na familia zao hujutia sanaaaaa baada ya mechi hizo,na wa dizaini hii huwa hawataki kabisa wake zao wapate habari yyte kuwa mumewe anakamua nje,ila wale wasio na adabu ndo utawaona kama huyo mumeo mpaka ww unajua,kiukweli mm kama ni mume wangu aliyenipenda nikampenda,aliyeniheshimu nikamuheshimu niliyempata kiuhalali(sio njia za panya)UGANGA/UCHAWI,nitamuuliza taratiiiibu tena tukiwa sehemu tofauti na nyumbani ntalipia hotel kabisaaaa,nimuulize huwa anavutiwa na nn kutoka kwangu,anapenda nimfanyie nn,namkwaza kwa yapi?nitamuhaidi kujirekebisha,lkn kama kuna mambo atayotaka nimfanyie lkn yapo nje ya uwezo wangu like(TIGO)nitamuelewesha madhala ya huduma hiyo kupitia vitabu vya dini kuwa imepigwa marufuku,najua itamchukua muda kuukubali ukweli lkn mwisho wa cku na kwa kumshirikisha Mungu atabadilika tu,time heals,ila yoooote haya nitamuhoji baada ya kuwa nimempa tamu yake na kinywaji akipendacho,nadhani umenisoma
akikuomba 0713 unamwambia huyo hawara amlete tu nyumbani...mume mpenda tigo hafai kwa matumizi ya binadamu kwa kweli. wacha iwe mbaya
 
ndugu yangu wanaume wasikuhizi wako hivyo huwezi kupata mwanaume wa peke yako cha msingi tafuta wa nje na wewe ujitulize zako akhhhaaa.....
 
Marriage is a nightmare kwakweli....
Hiki kipindi cha .com ukikaa miaka kadhaa kwenye ndoa lazma moyo upanuke haki a mama!!!!
 
ndugu yangu wanaume wasikuhizi wako hivyo huwezi kupata mwanaume wa peke yako cha msingi tafuta wa nje na wewe ujitulize zako akhhhaaa.....
Wewe mwisho wako ni mbaya,utakumbana na Israeli kabla ya siku zako
 
Pole,,fuatilia pata uhakika.Siku zote kisasi hakizai mema bali kuongeza tatizo
::
Zungumza na huyo anaekuibia,labda haibi ili kama anaiba asiibe tena.Akiiba tena asikulaum kwa uamuzi utakaochukua kwani nawe ni binadamu,una sifa zote za ubinadamu,chuki,hasira,kisasi,wivu,upendo na kusamehe.
=
 
Wewe kakuambia nani? Ndivyo unavyonitangazia vibaya mimi eeeh?! Sawa....tutaulizana asubuhi
 
hiyo ndio ndoa bibie...wanawaume kugegeda wanawake ni nature yetu sasa kubali yaishe.
kuhusu mume kugegeda demu ambaye rafiki yake ameshagegeda, hiyo ni competition tuu wanaume huwa tunatambiana.... ikiwezekana kama vipi mpanulie best frend wa mume akugegede na wewe
mzabzab hivi umeoa?
 
Ianawezekana unahisi tu kwa kuwa wanafanya kazi pamoja na wanaenda pamoja safari za kikazi
 
waache wakichoka wataacha ,
wewe si anakujali bwana,hakuna mwanaume alotulia duniani
kula share yako ukishiba lala ,utakufa pressure bure
si anakuhudumia bwana kula kipande chako lala ndugu yangu
ila umuombee tu huyo pepo atoke Mungu tu ndo anaeweza kumbadilisha..kwa nguvu zako utoweza

haiwezekani umewakatia tamaa hivi. Yaani unajua kabisa kuwa unapewa kipande afu unyamazie wakati unajua kuna mtu anakula na share yako? Jamani Smile!
 
Last edited by a moderator:
najua itamchukua muda kuukubali ukweli lkn mwisho wa cku na kwa kumshirikisha Mungu atabadilika tu,time heals,ila yoooote haya nitamuhoji baada ya kuwa nimempa tamu yake na kinywaji akipendacho,nadhani umenisoma

hahaha, kweli kuwa mwanamke adhabu. Yaani the bastard cheats on me despite my serving him diligently like the master, nalipia na hotel, nampa tamu 'yake' wakati tamu 'yangu' ni ya wote, namnunulia na kinywaji na chakula, namuuliza taratiibu? Hahahaha, yaani hilo vumbi lake, kumuacha ndo itakuwa the best favour he has ever received from me. Ila kama namsamehe, he will be looking over his shoulder for the rest of his life, kwanza kuhakikisha simuoni lakini pili kuhakikisha i aint up to no good!
 
King'asti weee kuna wenzio wana moyo....uwiiiiiiiii kwanza hata kumpa 'utamu' utawezaje? Hapo nyongo ishatema uwiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
King'asti weee kuna wenzio wana moyo....uwiiiiiiiii kwanza hata kumpa 'utamu' utawezaje? Hapo nyongo ishatema uwiiiiiiiiiii
shangaa na wewe. Umlipie na hotel, huko nyumba ndogo akienda yeye si ndo analipia hotel. Kama yeye gwiji ana uwezo wa kumiliki wanawake kadhaa mjini, why nit miliki na mie? My foot! Yaani mwanamke anakuwa groomed na makungwi awe mnyonge na akandamizwe haswaa. Inatakiwa unatimua vumbi hata akiwa na hawara anamuambia wife ni kichaa, ukimess tu atanichinja. Ebooo!
 
Last edited by a moderator:
Pole san ndg yangu,mijanaume ya siku hz sijui imekuwaje.....yaan cheating kwao now days imekuwa ni jambo la kawaida! kwakweli kwa jinsi hali ilivyo sasa inabidi mtu ujipange hasa unapofikiria kuingia ktk ndoa na ujiandae kuwa na moyo mpana.
 
hiyo ndio ndoa bibie...wanawaume kugegeda wanawake ni nature yetu sasa kubali yaishe.
kuhusu mume kugegeda demu ambaye rafiki yake ameshagegeda, hiyo ni competition tuu wanaume huwa tunatambiana.... ikiwezekana kama vipi mpanulie best frend wa mume akugegede na wewe

hhahhaaaaaaaaaaa dah maamuz yko noma
 
Back
Top Bottom