Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,714
shangaa na wewe. Umlipie na hotel, huko nyumba ndogo akienda yeye si ndo analipia hotel. Kama yeye gwiji ana uwezo wa kumiliki wanawake kadhaa mjini, why nit miliki na mie? My foot! Yaani mwanamke anakuwa groomed na makungwi awe mnyonge na akandamizwe haswaa. Inatakiwa unatimua vumbi hata akiwa na hawara anamuambia wife ni kichaa, ukimess tu atanichinja. Ebooo!
Na hiyo ndio saafi!! Anatakiwa kuwa na hofu,anatakiwa atambue majukumu yake na heshima ya ndoa yake...na anaeitengeneza ni mwanamke mwenyewe.. Mume anauma bana!! Mwanamke asipofanya kazi ya ziada kumdhibiti,kudaadaadeki atafanya vitu vya kumdharau mwanamke mpk basi. Kumdhibiti kwenye si kwa kwenda mganga though.