Japo sijakaribishwa rasmi naomba niseme hivi bidada maisha ni vile unavyoyachagua wewe yawe. Kama ukiyachagua yakutese basi yatakutesa kweli kama ukichagua yasikutese basi hayata kutesa milele.
Sina muda mwingi sana wa kaukaa hapa jamvini kukuelewesha ila tamabua kwamba suluhisho la matataizo yako ya ndoa yako ndani mwako mwenyewe na wala si kwa mtu wa nje.
Istoshe maneno ya watu eti wanaume hakuna waliotulia ama asiyecheat ni uongo kwani sio wanaume wote wenye kasumba hizo ila tu wewe umekutana na mtu wa aina hiyo.
Ningekuwa mm ningefanya hivi jambo la kwanza ningevumulia but huku taa ya njano ikimuwakia kwamba muda wowote taa nyekundu itawaka na nanga itapaa. Kwann ningefanya hivyo??? As usual ningeangalia invested cost zangu kisha nianze kufikiria means ya kuzirecover so nivumiliapo si vumilii kama mjinga asokuwa na njia. Kamwe usimwachie mtu jasho lako unless kama wewe ni gogo, lkn kama ni mwananmake lazima ufanye vitu kwa faida period.
Kivipi waweza kuvumilia huku ukitafuta njia ya kurecover cost zako??
Unamfungia vioo mwanzo mwisho, yaani hutakiwi kumjali kwa lolote lile. Akiingia ndani kama vile hayupo, kazi zako fanya ili zikusatisfy wewe ila si iliumfurahishe yeye. Ukitaka kumfaidi vyema kiburi na jeuri weka pembeni kabisa vaa sura ya hekima na moyo wa busara na itume zaid akili yako katika kutafakari na sio moyo wako.
Akili ukiitumia kufikiri vyema na ikausemezesha moyo wako basi ni wazi kwamba hutaongozwa na hasira wala kulipasasi bali utaongozwa na busara itakayotaka kuona unapata amani nafsini mwako na kwa wanao pia.
Binafsi nilivumilia kwasababu ya wanangu na invested cost ila taa ya njano ilipomuwakia alijua soon kitanuka na tena alijua mauti ndo ambayo ingefuata ikabidi arudi nyuma aombe samahan na adabu akashika na mpaka leo nidhamu ipo.
Usiwe mtu wa kulia lia na kushonea surualia shida zako kuwa jasiri wenzio hadi hati za nyumba na mashamba tulibadili majina, na watoto tulikaribia kuwabadili majina kwasababu hiyo.