Wanaume ni kitu kingine,Hata umfanyie nini hawaridhiki jamani,ila mwambie akuheshimu si afanye upuuzi wake hlf akuonyeshe
wee una akili...wanaume haturidhiki kabisaaaa
Wanaume ni kitu kingine,Hata umfanyie nini hawaridhiki jamani,ila mwambie akuheshimu si afanye upuuzi wake hlf akuonyeshe
Hapo utamponza mwenzio anasike kwenye tego. Ushauri wako unatia kichefuchefu.ndugu yangu wanaume wasikuhizi wako hivyo huwezi kupata mwanaume wa peke yako cha msingi tafuta wa nje na wewe ujitulize zako akhhhaaa.....
waache wakichoka wataacha ,
wewe si anakujali bwana,hakuna mwanaume alotulia duniani
kula share yako ukishiba lala ,utakufa pressure bure
si anakuhudumia bwana kula kipande chako lala ndugu yangu
ila umuombee tu huyo pepo atoke Mungu tu ndo anaeweza kumbadilisha..kwa nguvu zako utoweza
wee una akili...wanaume haturidhiki kabisaaaa
waache wakichoka wataacha ,
wewe si anakujali bwana,hakuna mwanaume alotulia duniani
kula share yako ukishiba lala ,utakufa pressure bure
si anakuhudumia bwana kula kipande chako lala ndugu yangu
ila umuombee tu huyo pepo atoke Mungu tu ndo anaeweza kumbadilisha..kwa nguvu zako utoweza
Just bite his d_ck
wee una akili...wanaume haturidhiki kabisaaaa
wanawake wakumbuke kitu kimoja wanaume kucheat ni laana waliyopewa tokea siku ya kwanza ya uumbaji kwamba mwanamke ametumika kumshawishi mwanaume wakala tunda kwanzia siku hiyo mwanamke ndio nyoka kwa mwanaume mwanaume hana kauli mbele ya mwanamke hata siku moja shetani amejiweka kwa mwanamke kumuondoa mwanaume kwa MUNGU kwahiyo hata wewe mwanamke unayetongozwa na mwanaume wa mtu ukakubali usijisifu kwamba ni mzuri ama unamaujuzi sana kumbuka unapomkubalia mwanaume wa watu basi na wewe umetumika katika mpango wa shetani wakuondoa wanaume kwa MUNGU...kwa hiyo huyo mume ni wa kuombea tu arudi kwa Mungu solution sio kumuacha Mwanamke anayejiamini na hodari ni atakayemtafuta na kumpata mwanaume wake mwenyewe akajitahidi kwa maubunifu ya chumbani na mengine kumfanya mwanaume asitoke nje na kama bado mwanaume atatoka nje ni jukumu lako kama ubavu wake kumuombea kwa MUNGU ambadilishe..KUMUOMBEA ndio silaha kamili hataka kama ujuwe kuzungusha na maujanja kivipi kama hatakuwa na hofu ya MUNGU bado atatoka na kukusalitihaiwezekani umewakatia tamaa hivi. Yaani unajua kabisa kuwa unapewa kipande afu unyamazie wakati unajua kuna mtu anakula na share yako? Jamani Smile!
Ivi hizi mila zetu za kiafrika wanawake hatuna haki ya kufanya maamuzi na kufurahi maisha ya ndoa?mbona tunajigandamiza na kushauriana kuvumilia na kuumia wakati maisha yenyewe mafupi,lini tutakua na amani au mpaka uzeen hawa wanaume wakishstaafu ufuska???na magonjwa ya saizi jamani mbona kazi tunayo?
sio rahisi kiivo unavodhani dear.unataka aondoke nyumbani kwake kisa mume amecheat? unadhani atapata ahueni yoyote?Umeona eeeh,ushauri wanaotoa wanawake humu JF sometimes unaniacha njia panda...mayb wengi wamelelewa kwenye mfumo huo wa ukandamizaj na wameukubal....
waache wakichoka wataacha ,
wewe si anakujali bwana,hakuna mwanaume alotulia duniani
kula share yako ukishiba lala ,utakufa pressure bure
si anakuhudumia bwana kula kipande chako lala ndugu yangu
ila umuombee tu huyo pepo atoke Mungu tu ndo anaeweza kumbadilisha..kwa nguvu zako utoweza
wifi ntakujibu mwakani. I hope na wewe kaka unamfuga hivi kama paka wa kijerumani.Jamani huyo ndio 'African Woman' mumuwache! Kama nyie hamkufundwa msimpotoshe mwenzenu, akiachika mtamuwowa nyie, nyambafu!
Mme wangu si mwaminifu hata kidogo anatembea na mfanyakazi mwenzake ambaye ni subordinate wake. Nimemvumlia nikijua atajirekebisha lakini naona ndo kabisa hadi safari za kikazi wanaongozana wote. Kibaya zaidi huyo mwanamke alishatembea na rafiki wa mme wangu. Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
hii nimeipenda. Tena nainyunyizia na pilipili kwanza na vinegar. Kaunga, BADILI TABIA, new solution in town. Hivi snowhite kimeenda wapi hichi kitoto, njoo upate maujanja ya mjini hapa. I love biting smoked Sausage
Angalau kwa mtazamo wangu kwenye ishuzi kama hizi kuna pande tatu :
1. Wanawake waliowahi kuwa kwenye ndoa huwa na mtazamo unaofanana ("ya nini kuvumilia likitokea sepa tu")
na mara nyingi huwaona wanaovumilia hizo "situation" kama wajinga lakini pia huwaona wanaamua "basi" kama mashujaa.
2. Walioko kwenye ndoa wakati huu huwa na mtazamo mchanganyiko (mara nyingi ikichangiwa na malezi,marafiki au tu misimamo binafsi)
3. Ambao hawajaolewa kabisa nao wana mitizamo yao inayochangiwa na "hearsay", malezi.... lakini pia wapo
miongoni mwao wenye lao moja tu (nakwenda ikitokea ABC Nasepa).
Ningependa kusikia migongano ya mawazo tena kutoka kwa akina gfsonwin, Kaunga, snowhite na King'asti