Mme wangu kanizalisha mitoto myeusi

Mme wangu kanizalisha mitoto myeusi

Nasikiaga hata yule dada mwenye blog ya michambo huwa anamficha mtoto wake eti anasema mbaya
watu wanahangaika hawapati watoto, wao wanaona watoto wabaya, hongera zao.

unajua inashangaza mzazi kusema vile watoto tena watoto wenyewe ni wazima na sio walemavu! hata kama wangekuwa walemavu huwezi sema maana hujui kusudi la Mungu juu yao
 
mkuu Tuko ni kweli ila si unajua watoto wa kichaga naturally ni warembo. ila amesha kuwa aged kiasi maana hakosi 45years

Huyo wala hajichubui wala nini. Si kwamba anataka mtoto na wewe. Ni kwamba anataka akupe penzi tu. Ana frustrations na ndoa yake. Kimbia sana mumewe mtoto wa majini. Unatafuta majanga kaka.
 
aje nimpe mtoto mweupe, ani PM. tena anabeba mimba siku hiyohiyo!

ah ah ah ah mkuu isije tokea ukampa mke mimba wakati nawe una ndoa na watoto wako utajuta mbele ya safari.
 
He he, ana lake jambo. Uzuri wa mtoto kwa mzazi wala si sura, sijui ni nini. Ila kuna ka ukichaa wa mapenzi kwa mtoto wako, hata awe kama zamadamu. Huyo dada alilazimisha kuolewa.

hata mimi nahisi alilazimishwa na hii utaona mme wake ameshastaafu yeye yupo kam 45yrs hivi sijui ndo habari za kufuata pesa hizi?
 
Hiyo ni habar yako weww mtoa mada,na akili yako inaonekana mbovu kabisa,kwan mtoto mweusi ana tatizo gani?Poor u.
 
mwanaume wa ukweli huwezi kuambiwa maneno kama haya na mama wa makamo na wewe umeoa....kuna vitabia mmeonyeshana ndo mana

pia kuwa na maamuzi kama mwanaume .....sitaki nataka ya kukaa kimya ina maana gani??/

kama hupendi ungemwambia pale pale mkuu

nikuulize swali wewe mwanaume akikutongoza unakubali pale pale au unakataa? mimi nijuavyo hata ukimwambia mwanaume sitaki atakufuatilia hata miaka mitano!! labda kama haulipi! watu ving'ang'anizi mjini hapa mkuu au mwenzetu hukutani nayo? mtu mnaweza kuwa mmezoeana kikawaida tu au kikazi mwisho wa siku anakuchomekea, au wewe hujakutana na madhira haya?
 
Hiyo ni habar yako weww mtoa mada,na akili yako inaonekana mbovu kabisa,kwan mtoto mweusi ana tatizo gani?Poor u.

vipi mkuu hujala mchana huu nini? mbona sikuelewi au kuna mahali umevurugwa?
 
Ama kweli tutasikia mengi nyakati hizi, sasa kaka angu huyo mama si angetafuta mwarabu kabisa ili kukata mzizi wa fitina halafu mbona kachelewa hivyo kufanya maamuzi mtu ana 40+ ndo anakumbuka ana watoto wenye rangi asiyoitaka. Halafu wakati anaolewa na huyo bwana kwani hakumuona kuwa ni black? Hii inafundisha kuwa kabla ya kufanya maamuzi ya kuolewa au kuoa fanya tathmini ya kutosha ili usije kujilaumu baadae. Bado nashangaa pamoja na uzuri wote huo hakuweza kufanya maamuzi angali hajaolewa mimi nahisi ana lake jambo tu kwani hana sababu ya msingi huenda kaona umetulia sasa anatafuta sababu za kukuingiza dhambini kama ujuavyo ulimi wa mwanamke...........jinsi ulivyo na urimbo wa kunasa mawindo.
 
mapenzi ya mama kwa mtoto hayana mfano
huyo mama anaewasema vibaya hivyo wanae ana matatizo..kimbia na wala usigeuke nyuma
 
na yeye huyo mama ni mweupe au mweusi? tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom