Mmasai na mangi

M.A

Member
Nov 20, 2013
34
0
Mmasai anampigia simu mangi kuhusu deni lake. Mmasai: haloo! Vp wale ngombe wangu uliwaona. Mangi: ndio niliwaona. Mmasai: na ile gari uliiona. Mangi: ndio. Mmasai: sasa deni langu. Mangi: unasemaje, maana cm inasumbua sisikii. Mmasai: mama yoyo ulimuonaga. Mangi: ndio nilimuona. Mmasai: deni langu. Mangi: ongezaga sauti maana sisikii kabisa aise. Mmasai: ile duka uliisaionaga. Mangi: ndio. Mmasai: ile deni yangu. Mangi: Eeeh.... Unasema? Maana nataka niende sehemu yenye network maana sikusikii halafu simu ni mbovu mbovu. Umemuona mangi kwenye deni hasikii, kwenye mazungumzo ya kawaida anasikia. Chezea mangi na pesa wewe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom