Mmasai alipoenda kwa fundi....

Mmasai alipoenda kwa fundi....

Kifo noma! majambazi walivamia kanisani wakasema tunawauwa waumini wote na tunafuata alfabeti. Wakamuuliza Mchungaji unaitwa nani? akasema Zosefu Zohana,
MZEE WA KANISA: naitwa Zobadia Zamweli,
MWALIMU WA KWAYA: naitwa Zaulo Zadamu,
SHEMASI: naitwa Zesta Zakobo! wewe ungejiita nani??
Najua Bujibuji ungejiita Zubujizubuji
 
Last edited by a moderator:
Ahh buji bana...
Hizo ni akili za kimasai...
ngoja mwaJ atakufafanulia
Muone mwaJ hali aliyonayo hivi sasa

734032_10152618904580416_1265268880_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
hahahaha hao mende watakua wametoka kwa "JOE'S APARTMENT"
 
Kifo noma! majambazi walivamia kanisani wakasema tunawauwa waumini wote na tunafuata alfabeti. Wakamuuliza Mchungaji unaitwa nani? akasema Zosefu Zohana,
MZEE WA KANISA: naitwa Zobadia Zamweli,
MWALIMU WA KWAYA: naitwa Zaulo Zadamu,
SHEMASI: naitwa Zesta Zakobo! wewe ungejiita nani??
Najua Bujibuji ungejiita Zubujizubuji

Mkuu! Sina mbavu. Yuu medi mai dei kwakweli.
 
Last edited by a moderator:
Hifi naulisa BOFULO, kabila ya muti ipi ilishapata Uwasiri Mukuu mara 3 tafauti hata kama haijamalisa? Lwaiganani Sokoine mara 2 Laigwanani Lowassa mara 1 na ikuja kuwa Lais, hakuna Bofulo ngume kumesa baada ya kuchofya kwenye Kiloriti, najifunia fahari ya kuwa Masai bana! Nyinyi cheka sisi tu lakini kumbuka musali nasema LAUGH'S BETTER WHO LAUGH's LAST! Sisi yote sasa nafika ikiwa fiti huku nyinyi mebaki tumbo emejaa matope nanuka sana sisi njiti lakini afya tele na nia sana Mungu nabari Tansania na Kenya
 
Zoflo wee kiboko, nimecheka mno

Kifo noma! majambazi walivamia kanisani wakasema tunawauwa waumini wote na tunafuata alfabeti. Wakamuuliza Mchungaji unaitwa nani? akasema Zosefu Zohana,
MZEE WA KANISA: naitwa Zobadia Zamweli,
MWALIMU WA KWAYA: naitwa Zaulo Zadamu,
SHEMASI: naitwa Zesta Zakobo! wewe ungejiita nani??
Najua Bujibuji ungejiita Zubujizubuji
 
hahahahahaaaaa ila boflo unamade siku yangu asubuhi na mapema natabasamu baada ya kulogon jamii forum loh Mungu akubariki uendelee kutufurahisha MMU.
 
duuuuuuuu naona bofloo sasa unatafuta vita na sisi wamasai wakati sisi sasa hivi 2naenda na nyie mnao jiita wa mjini sambamba
 
Back
Top Bottom