Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

My God! Jesus chrts! Shindwa pepo! Huna mamlaka! Shindwa pepo toka kuzimu! Shindwa! Shindwa!
 
nasikitika kuna ajali.... lakini nakereka na mtu analeta habari iko uchi namna hii, pata facts halafu post ukiwa na taarifa

hebu imagine unaangalia news halafu msomaji habari anaanza na

  1. Machame: kumetokea ajali mbaya sana machame
  2. Dodoma: Naibu spika amewatoa wabunge watatu nje ya bunge
  3. Cyprus: baraza la mawaziri limejiuzulu
  4. Dodoma: mbunge kasutwa

Na huo ndio mwisho wa habari

GADEMU!!
[
  1. Machame: kumetokea ajali mbaya sana machame
  2. Dodoma: Naibu spika amewatoa wabunge watatu nje ya bunge
  3. Cyprus: baraza la mawaziri limejiuzulu
  4. Dodoma: mbunge kasutwa
Kweli kabisa kaka huyo aliyetuma hiyo habari hakuwa na taarifa kamili, na pia hana japo ujuzi wowote wa habari nini? Na inawasilishwaje, na pia aina ya habari. Habari ya ajali ni makini na inahitaji kuwasilishwa kwa makini. Kikubwa tujitahidi kuwaelimisha watu kama hawa.
]
 
&lt;br /&gt;<br /> &lt;br /&gt;<br /> jamani mtuambie chanzo cha hiyo ajali.. Poleni watanzania.
<br /> <br / basi la lim lilikua linaovatek magar mengi likakutana uso kwa uso na fuso la nyanya, wa2 wamekufa vby sn
 
DSC03300.JPG Hali ilikuwa jana jioni pale maeneo ya Kibosho Road. Habari zinasema kuwa ajali hii ilisababishwa na gari la FRESH COACH.
Ilikuwaje. Basi la FRESH lilishusha abiria pale Kibosho road, ghafla akaingia barabarani. Driver wa LIM (pichani) alikuwa anatokea Moshi Mjini. Kwa wale wanaojua Moshi, ukitoka Moshi Technical Kuna muinamo ambao ni mkali. So gari ya Lim ikawa imekolea mwendo ndipo Fresh akaingia barabarani hivyo kumlaziimu huyu wa LIM kukwepa Fresh. Gari iliyokuwa ikitokea Uelekeo wa Arusha aina ya Prado ilibidi itoke nje ya barabara kabisa ili kukwepa LIM lakini pia aligongwa ingawa hakuumia sana. FRESH naye alitoka nje ya barabara! Wakakwaruzana ubavuni! Bahati mbaya sana fuso iliyokuwa inatokea uelekeo huo huo wa Arusha likiwa na shehena ya nyanya lilikutana uso kwa uso na basi hili dogo lililokuwa na wafanyakazi walioukuwa wametoka kuchuma kahawa pale Tchibo Estate. Ni bahati mbaya sana kuwa karibu watu wote wanatoka pale Machame. Ni msiba mkubwa sana. Tunaamini Mungu atawaongoza wote waliopoteza ndugu zao.
Kwa wale wafanyabiashara wa break down. Nawatahadharisha sana wasitumie mianya ya ajali ili kujipatia fedha! Kuna break down moja jana iliwaudhi wananchi pale! Huyu jamaa inasadikika kuwa hulipwa kwa masaa! hivyo alikuwa anajichelewesha maksudi ili masaa yaende. Hakujali kuwa kuna watu wamekwama kwenye foleni au hata wagonjwa walio kwenye magari wakisubiri magari yaondolewe barabarani. Ilibidi mwananchi mmoja amfokee huyu mwenye break down. Huyu jamaa mwenye asili ya kihindi alikuwa anavuta sigara na kujidai kuwa anashughulika saana wakati hakuwa akifanya chochote. Baada ya karipio kali toka kwa huyu raia ingawa hata polisi walikuwepo alivuta gari haraka na kulitoa barabarani na kisha kuondoka eneo la ajali na kuacha yale magari pale!
Hii nasema kwa ndugu zangu wa Musa Engineering hawakutenda haki!
Poleni sana Watanzania kwa msiba huu.
 

Attachments

  • DSC03317.JPG
    DSC03317.JPG
    696.8 KB · Views: 97
Dah..Mungu awape amani jamani..ni pigo kubwa na pole wafiwa!
 
Poleni Wafiwa na Watanznia wenzangu kwa kupoteza wapendwa wenu Mungu awapumzishe kwa amani Amen.
 
Kukithiri kwa Wingi wa ajali za barabarani ni dalili mojawapo inayoonyesha jinsi Nchi au jamii inawatu waliotaharuki kimaisha - wasiojali Sheria naTaratibu za Nchi au Jamii yao. Hii ni kutokana na watu kutojali kabisa kufuata Sheria naTaratibu zilizowekwa, kunakotokana hasa na kukithiri kwa rushwa. Rushwa imekithiri katika jeshi la Polisi kiasi kwamba Madereva wengi, hasa wa magari yanayobeba abiria - hawajali chochote (si wote - wengi wao).
Rushwa huondoa kabisa nidhamu, utii na kufuata taratibu katika Jamii/nchi.
Haya ni matokeao ya Rushwa iliyokomaa.
Rusha - huangamiza Taifa.
"Eee MUNGU wa Mbinguni twakuomba tuinulie watu katika Nchi hii nzuri [Tanzania] uliyotupa - ili wasimame kwa ujaisri kupambana na Rushwa." AMEN.
 
Rip wafiwa,kuna mmoja wahao musa engeneering ni bwaabwaaa labda alikuwa anasaka bwaaaana,source mimi mwenyewe!
 
Rip wafiwa,kuna mmoja wahao musa engeneering ni bwaabwaaa labda alikuwa anasaka bwaaaana,source mimi mwenyewe!

Hata mimi naskia hivyo mkuu. Eti jamaa anavuta sigara huku watu weshateketea! Alikua achezee kichapo bahati yake alitii amri ya Mtanzania mmoja mwenye uchungu na watu wake.
 
Basi la hood lapasuka tair la mbele na kuanguka. Eneo la iyovu mikumi morogo. Limeua wawili na kujeruh zaid ya 30
 
Aise, hii nchi sasa tutakwisha...kila siku ni ajali tu!!! where the hell are we going?!! The deceased should RIP.
 
Back
Top Bottom