Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

hali sio nzuri, police wamezuia wananchi kutambua watu waliokufa na hadi sasa idadi kamili haijulikani, hali hii inazidi kuleta hofu kwa wananchi
 
Poleni wafiwa, jana niliona kwenye breaking news ITV saa 11.45 jioni, saa 12.00 umeme ukakatika shaaa nikawa sina habari kamili, kazi ipo TANESCO
 
Ajali ya nini?.......mkuu unaweza kuiweka habari yako clear kidogo.......?
 
nasikitika kuna ajali.... lakini nakereka na mtu analeta habari iko uchi namna hii, pata facts halafu post ukiwa na taarifa

hebu imagine unaangalia news halafu msomaji habari anaanza na

  1. Machame: kumetokea ajali mbaya sana machame
  2. Dodoma: Naibu spika amewatoa wabunge watatu nje ya bunge
  3. Cyprus: baraza la mawaziri limejiuzulu
  4. Dodoma: mbunge kasutwa

Na huo ndio mwisho wa habari

GADEMU!!
 
nasikitika kuna jali lakini nakereka na mtu analeta habari iko uchi namna hii, pata facts halafu post ukiwa na taarifa

hebu imagine unaangalia news halafu msomaji habari anaanza na
Machame: kumetokea ajali mbaya sana machame
Dodoma: Naibu spika amewatoa wabunge watatu nje ya bunge
Cyprus: baraza la mawaziri limejiuzulu
Dodoma: mbunge kasutwa

Na huo ndio mwisho wa habari

GADEMU!!

mkuu ni ajali ya aina gani hiyo?ndio kijijini kwangu huko,au mlima umeanza kulipuka?
 
Ni kweli ila jamila omar reporter wa radio one nae hakueleweka ni eneo gani
Ila ni fuso imegongana uso kwa uso na hiace na watu wote/wengi wao wameRIP.
 
itakuwa machame nkwarungo au nrongo,kwa lyamungo wanatumia barabaraba ya vumbi ya kibosho,tunaopmbeni taarifa wakuu
 
Halafu hii habari inaweza kugeuka ikawa uwanja wa mapambano ya siasa, Magamba na Magwanda!
Watu wamepata ajali watu wanaleta matani
 
ndio tatizo langu

mtu kaleta habari ya ajali bila kichwa wala miguu halafu kaondoka
msimlaumu mleta habari hapa JF kial mtu ni mwandishi na mleta habari hakuwepo kwenye eneo la tukio .. yeye kaleta ili kama kuna mtu mweney habari zaidi atuhabarishe.. hakuan mtu mweney proffesiona ya uandishi hapa ...au nakosea?hii sio website ya gazeti
 
Back
Top Bottom