Hii itakuwa ile ya juzi pale Mikumi!wanajf nimeskia punde kuwa ajali ya basi la hood kutoka mbeya limegongana na lory la mohamed interprise na vyombo vyote vimeteketea kwa moto,pia abiria wanne wameteketea akiwemo dereva wa lory. mwenye news zaidiatujuze,source . matukio rfa
Mkuu! Ni kweli kbs! MUNGU tupe rehema yako u2linde bila ya kuchoka kama siku zote. Wafiwa wote poleni! Bwana ametoa na ametwaa! Jina lake lihimidiwe!Pole sana kwa waliopatwa na maswahibu..Bajaji na Pikipiki ni "MAJENEZA YANAYOTEMBEA"
Yaelekea huyu Best alikuwa usingizini tangu majuzi halafu kakurupuka bila shaka kakutana na kipindi cha magazeti na ndiyo akaona labda WanaJF wote walikuwa fofofo kama yeye. Kweli washikaji wengine ni mizigo humu na cjui walikaribishwaje.duh, jamaa lazma alikua mbali!! hii habari sio ya juzi?
Jamani whether ni ya juzi ama jana, mwenzetu anataka information, thats the bottom line!Hii ni ya juzi mazee.
Ni kweli majeneza yatembeayo lakini kwa akina sisi yanatusaidia kwa usafiri tuwaombee wenzetu waliotangulia kwa usafiri huo nasi tunafuataPole sana kwa waliopatwa na maswahibu..Bajaji na Pikipiki ni "MAJENEZA YANAYOTEMBEA"
inawezekana watu walikuwa kazini .. wengi wanaokuwa pembezonimwa barabara si wanauza vitumbua na miguu ya kuku? ndio ajira zetu hizi braRIP watu msiokuwa na hatia na mliokuwa mmelundikana barabarani kwa kukosa kazi.
Kuna ajali mbaya sana imetokea hapa eneo la posta mjini ifakara, baada ya lori kukosa muelekeo na kuangukia watu, inasemekana zaidi ya watu kumi wamepoteza maisha