Ni kweli ITV wametoa breaking news. Yamegongana na kushika moto uliounguza magari mengine pia. Wanadai chanzo ni moto uliowashwa na watu wa TANAPA uliosababisha. Mtoa habari anadai ameshuhudia maiti 2 na majeruhi wengi baadhi yao wakiwa wameungua vibaya.tuwapa pole wahanga kama ni kweli
Ni kweli basi la Hood kutoka Mbeya limegongana na lori lililobeba mafuta ya kupika na basi limeteketea kabisa na abiria walioweza kutoka wameonekana ni kama kumi na tano hivi nimeongea sasa hivi na mfanyakazi wa Mbuga ya Mikumi wanaendelea kukata lori ili waweze kuzima moto. Basi la abiria 65
mkuu hujafafanua vizuri ilikuwajekuwaje?Sorry,baadhi ya abiria wameungulia ndani ya basi hilo
Ni kweli basi la Hood kutoka Mbeya limegongana na lori lililobeba mafuta ya kupika na basi limeteketea kabisa na abiria walioweza kutoka wameonekana ni kama kumi na tano hivi nimeongea sasa hivi na mfanyakazi wa Mbuga ya Mikumi wanaendelea kukata lori ili waweze kuzima moto. Basi la abiria 65
Sorry,baadhi ya abiria wameungulia ndani ya basi hilo
Inasemekana mbugani mikumi kulikuwa na moto na kusababisha moshi mzito kutanda barabarani hali iliosababisha lory la mohamed interpresses kusimama then hood akaligonga hilo lori na hatimaye kuwaka moto..mkuu hujafafanua vizuri ilikuwajekuwaje?
ubaguzi wa rangi........... kwani aliyekua anaendesha ni mwarabu?hawa waarabu watamaliza ndugu zetu kwa majini yao