Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Kwa jinsi hali ya msururu na moto ulivyokuwa unaendelea kuwaka maeneo karibu na magari, ilinibidi nitoke nduki kupitia porini ili ka-vitz nilikoazima kasije shika moto. Nikahepa mpaka iringa ila mabasi na magari mengine yalikuwa yamekwama, pengine msaada ulifika ila story zinasema watu 15 waliokolewa wenginw sijui.. Labda habari zitatoka kwenye tv
 
attachment.php
attachment.php
 
  • Thanks
Reactions: BAK
This is horrible may God help our countries hatuthamini maisha kabisa , RIP kwa waliopoteza maisha na poleni sana wafiwa Mungu mwenyewe awafariji! Majeruhi Mungu awajalie kupona haraka!
 
Jamani Mungu saidia Tanzania mana tuna koelekea sijui ni wapi, RIP waliofariki majeruhi Mungu awaponye!
 
Hudhuni sana na inauma sana natokwa na machozi hapa nilipo.Ee mungu tuhurumie.Tumewakosea ni hawa mafisadi,kwani jeshi la polisi hali helkota ili kuweza kufika eneo la ajali haraka na kuchukuwa majeruhi waharakishwe hospitalini?kama hazipo! Aibu Tanzania.Ee mungu mwema tunaomba uwalaze mahali pema peponi marehemu wote na uwabariki majeruhi wote waweze kupona haraka.Amina.
 
Hudhuni sana na inauma sana natokwa na machozi hapa nilipo.Ee mungu tuhurumie.Tumewakosea ni hawa mafisadi,kwani jeshi la polisi hali helkota ili kuweza kufika eneo la ajali haraka na kuchukuwa majeruhi waharakishwe hospitalini?kama hazipo! Aibu Tanzania.Ee mungu mwema tunaomba uwalaze mahali pema peponi marehemu wote na uwabariki majeruhi wote waweze kupona haraka.Amina.
mbowe abebwe na nini kwenda Arusha?
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Tragedy as bus hits truck, bursts into flames
[/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Wednesday, 20 July 2011 22:57
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

The Citizen Reporters
Dar es Salaam/Morogoro.

Scores of passengers died and many others seriously injured when their bus hit a stationary truck yesterday evening.Police reports said the accident occurred on a road stretch along the Mikumi National Park in Morogoro Region due to poor visibility caused by smoke emanating from burning grass within the national park.

Reports said some of the victims were charred while the vehicles were burnt beyond repair.Reports from the scene of the accident said last night that the accident involved a 60-seater Hood Bus Service and a stationary lorry carrying edible oil.The reports said the driver of the lorry who was heading to Songea from Dar es Salaam had stopped on the road waiting for the smoke to clear.

And the bus that was full of passengers was travelling to Arusha from Mbeya.Unconfirmed police reports said the 19 injured persons out of the 65 passengers were rushed to Mikumi hospital and Morogoro, adding that the remaining 48 passengers were unaccounted for.They said bodies were seen trapped inside the wreckage of the bus, adding that confirmed reports said the driver and his tout died on the spot.

“The smoke which was coming from a nearby burning bush within the national park was the cause of the accident because both drivers lost visibility,” said Mr Alex Kadeya, a witness.Other witnesses said the truck which was ferrying 28 tonnes of edible oil stopped on the road, waiting for the smoke to clear.

“The driver of the bus did not wait for the smoke to clear only to hit the truck,” said Mr Kadeya.Mr Kadeya added that both vehicles were completely burnt, adding that passengers who got outside the bus did so after breaking windows.
The Morogoro regional crimes officer, Mr Khamis Suleiman, confirmed that the two vehicles were destroyed beyond repair.

Contacted for comment last night, the Mikumi National Park chief warden, Mr John Shemkunde, admitted that grass burning was done routinely to control bushfires.

“We have been doing that all these years and it has caused no accident,” said Mr Shemkunde when asked whether the park authorities could have been blamed for the accident.“There is no need of putting up any signs. The accident could have been caused by the recklessness of the drivers.”

New Habari editor in ICU
Meanwhile, the deputy managing editor with New Habari Corporation, Mr Danny Mwakiteleko, is in a critical condition after he was involved in a road accident on Wednesday night.

Mr Mwakiteleko has been admitted to the intensive care unit of the Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI). Mr Mwakiteleko is among the founders of the Mwananchi newspaper.

New Habari CEO Hussein Bashe said yesterday Mr Mwakiteleko was involved in the accident at Tabata in Dar es Salaam at around 10pm as he was returning home from the media house’s Sinza Kijiweni office where he had edited Rai newspaper.

Mr Bashe said Mwakiteleko was assisted by good Samaritans who ferried him to Amana hospital from where he was transferred to MOI.He said Mwakiteleko’s car rammed into a trailer.
Reported b y Fredy Azzah and Lilian Lucas

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
R.I.P walopoteza maisha , Mungu awaponye majerui wote
 
tunaomba mtujuze wana jf tunasikia ajali mbaya imetokea maeneo ya makumbusho karibu na bank bajaji imegongwa na kuua watu wawili palepale alfajili ya leo taarifa toka Radio one
 
wanajf nimeskia punde kuwa ajali ya basi la hood kutoka mbeya limegongana na lory la mohamed interprise na
vyombo vyote vimeteketea kwa moto,pia abiria wanne wameteketea akiwemo dereva wa lory. mwenye news zaidi
atujuze,

source . matukio rfa
 
tunaomba mtujuze wana jf tunasikia ajali mbaya imetokea maeneo ya makumbusho karibu na bank bajaji imegongwa na kuua watu wawili palepale alfajili ya leo taarifa toka Radio one
Namimi nimeisikia mkuu.. ilikuwa alfajiri sana, nimepita hapo mida ya saa 6:20 na kulikuwa shwari tayari
 
Back
Top Bottom