Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

ndiyo haina baraka za mungu, lakini ina baraka za Mungu. Ndiyo maana hakuna aliyefariki.

Kwani mpaka kufariki ndio waona itakuwa haina baraka ? kama hivyo mali imeharibika , na wao wameumia yaonyesha kabisa hakuna baraka hapo
 
Kwani mpaka kufariki ndio waona itakuwa haina baraka ? kama hivyo mali imeharibika , na wao wameumia yaonyesha kabisa hakuna baraka hapo

mme wachawia lakini Mungu ame waokoa,na kazi ya kutetea wanyonge inaendelea
 
Wee kweli una akili sana.....


0.jpg

2yz9yxh.jpg

Kwa vile ni masuala ya ajali , hatuna budi kusema pole sana . Ila yaonyesha hiyo safari sio yenye heri na haina baraka za mungu
 
inaonekana hata muumba hayuko tayari na maandamano ya CDM, hiyo ni ishara tosha.

Mungu awajalie mpone haraka
 
Unachopaswa kusema ni "Poleni sana" hayo maneno mengine unayoongeza hayakuwa na lazima sana labda kwa mtu ambaye ni mwanga nikiwa na maana wale wachawi wanaoruka na ungo usiku. Kama wewe ni mmoja wao ni lazima maneno kama hayo yatakutoka mdomoni mwako maana hiyo ni tabia ya wanga.:evil:
 
Ajali haina kinga. Poleni sana waheshimiwa Wabunge.

Kuweni waangalifu na watahadharishe madereva wenu muda wote hususani na malori ya mbao na mizigo mingine mikubwa.

Ninaamini, kazi yenu ina mkono na baraka za Mwenyezi Mungu, keep it up!
 
Kwa vile ni masuala ya ajali , hatuna budi kusema pole sana . Ila yaonyesha hiyo safari sio yenye heri na haina baraka za mungu

Kazi ya Mungu ni kuhuisha ila shetani ni kuangamiza sasa kilichotokea hapo kilikuwa na lengo la kuamgamiza kwahiyo ndugu yangu ni kazi ya shetani hiyn. Nawapa pole sana na Mungu awajalie mmalize salama kazi yenu
 
Poleni sana waheshimiwa wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano! Hivyo mpaka leo bado kuna watu wanaita wabunge wa chadema???, shame on u!
 
Hakuna lolote hapo, imekosa baraka za Mungu
We shetwani Mweusi umetumwa lakini waambie wana mtetesi wao aliye macho siku zote za maisha ye2! SHINDWA PEPO WEWE SHINDWA NA ULEGEEE! Shwetwani mkubwa huna mamlaka yeyote. Shindwa shindwa pepo!
 
Sasa kama nipo Sikonge, nirude Bongo ipi tena Bandugu?

Au SIKONGE imekuwa masikini sana hadi mnaona haipo Bongo?

Ndiyo maana viongozi wengi Tanzania wanaipishia mbali. Ila sasa ntafanye na huku ndiyo kwetu?

Hahahaaaa, jamaa anatishia NYAU siyo? Nikifika Dar ntamtafuta na ntamletea na Panga kabisa ili AKATE TAMAA....

Mwenzio January Makamba kapigwa marufuku kwenda USA. Wee chezea na tishia watu tu ambao hata huwafahamu.

MODS:
Natangaza hapa moja kwa moja kuwa Gamba Jipya kanitolea VITISHO. Nataka kujua hatua gani naweza kumchukulia kwani hata nikivunja Mguu nikiwa Dar (Bongo), huyu jamaa lazima akamatwe na ahojiwe. Ntaomba muitunze IP yake ili iwe rahisi kumdaka mara muda ukiwadia.
Mtu mzima hatishiwi nyau,mkuu Sikonge atarudi Bongo bila taabu tujenge nchi baada ya mabadiliko ya kweli. Tishaneni kwenye magamba yenu
 
Back
Top Bottom