Bai la Alsaedy lililokuwa likitokea mkoani Mbeya limepata ajali jioni hii katika eneo la kijiji cha Sangasanga mkoani morogoro na kuua watu kadhaa.Idadi kamili ya waliopoteza maisha bado haijajulikana lakini kwa walioshuhudia habari hiyo wanasema watu zaidi ya watano wamepoteza maisha hapohapo.
source:Abood radio
source:Abood radio