kama ni jioni hii litakuwa lilikuwa linatoka Mbeya...Tujuze zaidi mkuu, je basi lilikuwa linatoka wapi kwenda wapi
Hii ya morogoro inatisha sasa....Lakini hii mikoa miwili ya Morogoro na Pwani vimelaaniwa au tatizo liko wapi? ajali za kutisha za mara kwa mara.
Tujuze zaidi mkuu, je basi lilikuwa linatoka wapi kwenda wapi
Mpe pole sana...basi lilikuwa linatoka mby kwnd dar. Nipo na mmoja wa majeruhi anasema chanzo cha ajali baada ya lori
kuligonga basi ubavuni na kupinduka. Lori lilikuwa linakwepa kugongana uso kwa uso na gari lingine lililokuwa likitokea dsm!
Lakini hii mikoa miwili ya Morogoro na Pwani vimelaaniwa au tatizo liko wapi? ajali za kutisha za mara kwa mara.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Wala hairekebishwi na binadamu yeyote.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa.
Sisi tuliwapenda, lakini yeye, amewapenda zaidi.
Shukuruni kwa kila jambo maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu.
Mungu, tunasema ahsante kwa kupenda kuwaua abiria hawa.
Kuna mwana jamvi ameshaileta hapa jamvini na anasema ni watu 6 wewe unasema wawili, na amesema yuko pamaoja na majeruhi mmoja wao....