Fernandes Rodri
JF-Expert Member
- Apr 11, 2009
- 519
- 263
Ajali hizi zinatumaliza, mungu awaweke marehemu mahali pema peponi, Amin:A S 465:
Hivi hii nchi ina serikali kweli? How can ajali ua watu leo, kesho, jana, juzi, and serikali haichukui hatua zozote kukabili hali?
Tujuze zaidi mkuu, je basi lilikuwa linatoka wapi kwenda wapiKuna ajali imetokea Morogoro maeneo ya Bwawa la Mindu karibu na njia panda ya chuo kikuu cha Mzumbe, watu 6 wamefariki dunia baada ya basi la al saed linalofanya safari kati ya mbeya na dar kupinduka.
Ntawajuza zaidi.