kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
mimi nashangaa sana ajari za mabomu zilijirudia na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na leo hii ajali zimejirudia tena hakuna hatua zinazochukuliwa huu ni uzembe wa hali ya juu sana kwa abiria na wasimamizi au washika dau wa usalama barabarani
RIP brodas and sistos!
Hizi ajali zote za wiki hili ni 100% uzembe!
Poleni ndugu wa wafiwa, maana hakuna la ziada tunachoweza kuwaambieni zaidi ya hilo.