Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 405
yangekuwa maandamano....ungewaona hata kabla ya kuanza
Absolutely right!!
yangekuwa maandamano....ungewaona hata kabla ya kuanza
Foleni itoke wapi, labda ya baiskeli. Hako kamkoa ccm na serikali yake imekafyonza sana. Kanazalisha madini mengi, ng'ombe kibao, pamba na mpunga lakini ndiko kanaongoza kwa umaskini, umbumbumbu na imani za kishirikina.
Hivi Shinyanga nako kuna foleni?
yangekuwa maandamano....ungewaona hata kabla ya kuanza
Asante Ivuga... Ubarikiwe
mdau hii ilitokeajetokeaje? au hujui
ilitokea wapi mbona huwa mnaleta mada kivivu utafiki tuko FB...kuna ajali nagpi zilitokea juzi....
Ukiondoa sababu za kibinaadam ikiwemo uzembe, ajali nyingi zinasababishwa na ubovu wa magari. Huwa wamiliki wanajisahau sana!!! Madereva pia huwa wanahofia wakitoa taarifa za ubovu mara kwa mara wataonekana ni waharibifu. We need to change!!