TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Kweli mkuu lakini Radio One kupitia breaking news walipotosha ukweli halisi angalia picha hapo juu.
Mwenyewe jana nilipokea ujumbe wanasema lori na hiace dah hawa jamaa inabidi watuombe radhi
Kweli mkuu lakini Radio One kupitia breaking news walipotosha ukweli halisi angalia picha hapo juu.
Sure...Nashangaa inakuwaje kwenye njia hii kila wakati magari yanatumbukia mtoni...Asante kwa taarifa mkuu, ehh Mungu tunusuru
Inafikia mahali ukitaka kusafiri unajiuliza mara mbilimbili
kuna moshi mkubwa uliaza kuonekana hapa mjini kuanzia saa saba kasoro ila magari ya faya brigade yamepita muda sio mrefu ila yatakua yamechelewa saaana ngoja nfatilie ntawajuza zaidi ila kwa moshi uliokuwepo unaonekana ni moto mkubwa
ni kweli kimeteketea chote,ila magari ya zimamoto yamechelewa zaidi ya nusu saa
Hivi Shinyanga nako kuna foleni?
ni kweli kimeteketea chote,ila magari ya zimamoto yamechelewa zaidi ya nusu saa