Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Enzi za waziri Kusila serikali iliwahakikishia wananchi kuwa mabasi ya abiria yakifungwa 'speed governor' neno ajali lingebaki kuwa historia, governor zilifungwa mabasi yakaendelea kunywa damu za abiria. Mwaka jana tuliambiwa madereva wote wakipata leseni mpya, ajali zitatoweka badala yake ajali zimeongezeka zaidi, je serikali inajua ifanyalo?

Speed governor & Licence ni mradi wa wakubwa wahana lolote waha jamaa kuhusu ajali.
 
Poleni sana wafiwa na Mungu azilaze roho za marehmu mahali pema peponi. Ila tabia hii ya kujaza abiria toka mnadani kwenye MAFUSO imeanza siku nyingi sana na vyombo vya usalama viko kimya siku zote. This is Tz we want....
 
Basi la Kandahar limepata ajali eneo la Makuyuni wakati likitokea Arusha kuelekea Babati. Chanzo cha ajali kutoka kwa aliyenitumia habari hii ambaye alikuwepo eneo la tukio, ni kwamba dereva wa basi alipinduka mara kadhaa wakati akijaribu kulikwepa trailer la trekta lililochomoka na kujikuta akiacha njia na kupinduka. mpaka sasa hukuna maiti bali majurehi ni wengi na dereva wa trekta hali yake ni mbaya sana.
Source; A Friend anapita eneo la tukio
 
Laana nyingine twajitafutia.
Utaitaje jina lako kandahar?
OTIS.
 
Duuuh, nawapa pole watu watu waljeruhi wote katika ajali hiyo, Mungu awape tahafifu ili warejee katika ujenzi wa taifa.
 
pole sana wahanga!!1!!!!nimekumbuka mbali!nilishapanda kampuni hiyo kwa safari hiyo hiyo yapata miez 8 iliyopita,poleni sana wahanga!!!!!
 
Basi la Kandahar limepata ajali eneo la Makuyuni wakati likitokea Arusha kuelekea Babati. Chanzo cha ajali kutoka kwa aliyenitumia habari hii ambaye alikuwepo eneo la tukio, ni kwamba dereva wa basi alipinduka mara kadhaa wakati akijaribu kulikwepa trailer la trekta lililochomoka na kujikuta akiacha njia na kupinduka. mpaka sasa hukuna maiti bali majurehi ni wengi na dereva wa trekta hali yake ni mbaya sana.
Source; A Friend anapita eneo la tukio

sijakuelewa unaposema dereva amepinduka mara kadhaa!! Nieleweshe vizuri ndg.
 
Wandugu, ajali imetokea maeneo ya tunduma mbeya ya basi aina ya coaster lililogongana na prado. basi lilikuwa katika speed kuwahi wapi sijui watu 8 wamekufa on the spot na wengine sijui namba wamejeruhiwa vibaya. mwenye taarifa zaidi atujuze.

Mungu awalaze marehemu mahali pema peponi na majeruhi wapone haraka.
 
Mbeya...... Mabalaa yanaendelea kama kawa.
Mungu awapumzishe marehemu mahali pema peponi, pia majeruhi tunawaombea wapone haraka
 
Jamani hizi ajali mbona zinazidi kutumaliza!. Mungu apokee roho za marehemu. Majeruhi nawapa pole sana.
 
Basi la Kandahar limepata ajali eneo la Makuyuni wakati likitokea Arusha kuelekea Babati. Chanzo cha ajali kutoka kwa aliyenitumia habari hii ambaye alikuwepo eneo la tukio, ni kwamba dereva wa basi alipinduka mara kadhaa wakati akijaribu kulikwepa trailer la trekta lililochomoka na kujikuta akiacha njia na kupinduka. mpaka sasa hukuna maiti bali majurehi ni wengi na dereva wa trekta hali yake ni mbaya sana.
Source; A Friend anapita eneo la tukio

Duh! Imetokea sangapi hiyo? Kwa maana hiyo jana nilikua nimepanda Kandahar la kutoka Babati kwenda Arusha. Na sikuona tukio la ajali njiani!!
 
Ajali imetokea leo huko mkoa wa pwani, basi la Deluxe likitokea dodoma, gari limepata burst mpira wa mbele na kupinduka kisha kuwaka moto, abiria more than 30 wamegeuka majivu! Dah inasikitisha sana!
 
Back
Top Bottom