KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 3,494
- 4,509
Bado busu la kenge hajaja kukoment hapa
NdiooHizo kwetu Usukumani anakula mtoto wa miaka kumi
Kula direct kwenye jungu uwe chombo kimoja na uporo jungu hilo hilo 🤣🤣🤣🤣We jamaa uchawi wa kupika Mimi muda na kuosha vyombo baada ya kushiba.
Bora ulisepa
Si ndio🤣Hell? 😂😂
Wewe na uyo mpare wanafiki sanaSi ndio🤣
🤣🤣🤣 maisha bila unafiki hayaendi.Wewe na uyo mpare wanafiki sana
Apimwe huyuSi ndio🤣
Ndio maana hamnenepi🤣🤣🤣 maisha bila unafiki hayaendi.
Kuna siku nitakupiga mbanzi uhooApimwe huyu
Hakuna kitu hapoHell
Kwanza niliandaa ndizi zangu vizuri kama unavyo ziona wakat uho nyama ipo jikoni ina ivaa
View attachment 3437572
Kisha baada ya nyama kuiva nika weka karoti ya kusaga na ndizi
View attachment 3437573
Then nilitenga supu ile ya kwanza supu og ile nzitooo nikaweka mwishoni
View attachment 3437576
Ika tokota kidogo tu mambo yakawa bam bam
View attachment 3437577
Bashiri kidogo usihau na kalimao kidogo na pilipili ili muasho upatikane
Guys jifunzeni kupika mule kile kitu roho inapenda na akili ina taka
😂😂😂😂Ndio supu ya ndizi hiyo?!!
Lengo ilikuwa ni kuwavuta watu msomeIla best, umeshindwa kabisa kujua namna ya uandishi? Au unafanya kusudi? Lol
Nweiiii mbona sijaona supu ya ndizi enyewee?
😂😂😂😂😂
Wee kimbau mbau Half american unaitwa huku🤣🤣🤣Ndio maana hamnenepi
Aaah wapiii!! 😂😂😂😂Lengo ilikuwa ni kuwavuta watu msome