Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,299
- 60,928
Nimeona,Angalia kwenye picha ya mwisho niliziacha mbona
Mie napenda zilainike zianze kuwa kama Uji yaani laini kama inamsagia mtoto
Nimeona,Angalia kwenye picha ya mwisho niliziacha mbona
Kwani unashiba hizo 🤔🤔Kwani na familia kubwa 😂
Halafu anatuambia kua hiyo ni supu ya ndizi!Ungeacha basi hata ndizi zilainike kidogo jamani,. Mbona zimesimama sana??
Nije nioe kwenu sasaLeo pishi lako na mwandiko ni sawa
Nawe uoe sasa. Sisi kama wazazi wako unatutisha.😂😂Hell
Kwanza niliandaa ndizi zangu vizuri kama unavyo ziona wakat uho nyama ipo jikoni ina ivaa
View attachment 3437572
Kisha baada ya nyama kuiva nika weka karoti ya kusaga na ndizi
View attachment 3437573
Then nilitenga supu ile ya kwanza supu og ile nzitooo nikaweka mwishoni
View attachment 3437576
Ika tokota kidogo tu mambo yakawa bam bam
View attachment 3437577
Bashiri kidogo usihau na kalimao kidogo na pilipili ili muasho upatikane
Guys jifunzeni kupika mule kile kitu roho inapenda na akili ina taka
Kijana wa hovyo😁🧐Utadhani zina upwiru kwa namna zilivyosimama
Mh mm noNimeona,
Mie napenda zilainike zianze kuwa kama Uji yaani laini kama inamsagia mtoto
Leo mchana huu nimekula supu ya kamongo na viazi mviringoooHell
Kwanza niliandaa ndizi zangu vizuri kama unavyo ziona wakat uho nyama ipo jikoni ina ivaa
View attachment 3437572
Kisha baada ya nyama kuiva nika weka karoti ya kusaga na ndizi
View attachment 3437573
Then nilitenga supu ile ya kwanza supu og ile nzitooo nikaweka mwishoni
View attachment 3437576
Ika tokota kidogo tu mambo yakawa bam bam
View attachment 3437577
Bashiri kidogo usihau na kalimao kidogo na pilipili ili muasho upatikane
Guys jifunzeni kupika mule kile kitu roho inapenda na akili ina taka
Ndio kwa mchana tuKwani unashiba hizo 🤔🤔
Ahaha upo chini sipend michuzi mingiMchuzi ukwapi sasa?
Kweli nmeamini kuna siku mpishi lazima akosee, angekuwa hotel ya nyota tano kibarua kingeota nyasi leo.Kijana wa hovyo😁🧐
Ahahah sijapata binti bikra badoNawe uoe sasa. Sisi kama wazazi wako unatutisha.😂😂
Sasa hata kama umepika ndizi nzuri ndio uziweke kwenye ndoo ya lita 10?😁😁😁
Hapana kwa kweliKwa mwendo huu vijana mtaoa kweli?
Unajua hata mi nimekuja kwenye huu uzi nikijua nakutana na kitu kipya nikivuta picha kuhusu supu ya ndizi kwani sijawahi kuiona nikadhani inaweza kuwa hata ni mtori kumbe 🤣🤣🤣Halafu anatuambia kua hiyo ni supu ya ndizi!
Au sio baod konyagiLeo mchana huu nimekula supu ya kamongo na viazi mviringooo
Kwenda zakooKweli nmeamini kuna siku mpishi lazima akosee, angekuwa hotel ya nyota tano kibarua kingeota nyasi leo.
😂😂😂Halafu anatuambia kua hiyo ni supu ya ndizi!
Siwezi kuwa na shemeji analipenda jiko kumzidi dada yangu.Nije nioe kwenu sasa