Mlo wa mchana supu ya ndizi

Mlo wa mchana supu ya ndizi

We jamaa uchawi wa kupika Mimi muda na kuosha vyombo baada ya kushiba.

Jamaa yangu mmoja mkewe alisafiri kwa siku kadhaa yeye akawa anapika bila kuosha vyombo. Siku mkewe anarudi sisi tulikuwa backyard tunapiga laga mbili tatu. Dada alivyoona mlima wa vyombo vichafu alivimba ile mbaya. Akaanza kuosha bila kusema na mtu. Mi nikaona hapa mi bora niage tu
 
Bora ulisepa
 
Hell

Kwanza niliandaa ndizi zangu vizuri kama unavyo ziona wakat uho nyama ipo jikoni ina ivaa
View attachment 3437572
Kisha baada ya nyama kuiva nika weka karoti ya kusaga na ndizi
View attachment 3437573
Then nilitenga supu ile ya kwanza supu og ile nzitooo nikaweka mwishoni
View attachment 3437576
Ika tokota kidogo tu mambo yakawa bam bam
View attachment 3437577
Bashiri kidogo usihau na kalimao kidogo na pilipili ili muasho upatikane

Guys jifunzeni kupika mule kile kitu roho inapenda na akili ina taka
1. Wewe una taaluma ya upishi?
2. Kama sivyo mtoto wa kiume imekuaje kutwa mapishi?
 
Hayo makitu ni hatari Mzee Kwa shinikizo la juu la moyo!!! Mafuta ya mbuzi Yana Ganda kwenye mishipa !! Kila kondooo ndugu mm yamenikuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom