Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,650
- 3,816
Sawa, ngoja wazazi wako tukutafutie huku Tukuyu Malafyale.Ahahah sijapata binti bikra bado
Sawa, ngoja wazazi wako tukutafutie huku Tukuyu Malafyale.Ahahah sijapata binti bikra bado
Ahahah ushawishi unaitwa nimekuvutaUnajua hata mi nimekuja kwenye huu uzi nikijua nakutana na kitu kipya nikivuta picha kuhusu supu ya ndizi kwani sijawahi kuiona nikadhani inaweza kuwa hata ni mtori kumbe 🤣🤣🤣
Kwaza kwenu wote midumeSiwezi kuwa na shemeji analipenda jiko kumzidi dada yangu.
😆😆Ungeacha basi hata ndizi zilainike kidogo jamani,. Mbona zimesimama sana??
Sahizi ungekuwa unalilia washroomKwenda zakoo
Cha muhimu kuenjoy the meal🤤🤤Mh mm no
Sawa sawa awe amemaliza la sabaSawa, ngoja wazazi wako tukutafutie huku Tukuyu Malafyale.
HaitokeaSahizi ungekuwa unalilia washroom
Mzani umebalance vyema kabisaKwaza kwenu wote midume
For sureCha muhimu kuenjoy the meal🤤🤤
Hiki n nini umeandikaHaitokea
Dada wa kufua leo kajaMzani umebalance vyema kabisa
NifundisheHiki n nini umeandika
Walivyo wajanja sikuizi mbona wanakubadilishia jina Hapo utaambiwa mteja aliorder ndizi nyama sio supu ya ndizi 😁..Kweli nmeamini kuna siku mpishi lazima akosee, angekuwa hotel ya nyota tano kibarua kingeota nyasi leo.
Mjini akili nyingi vinginevyo angekula hasaraWalivyo wajanja sikuizi mbona wanakubadilishia jina Hapo utaambiwa mteja aliorder ndizi nyama sio supu ya ndizi 😁..
Juzi kati Kuna mahali niliagiza chips kavu nikaletewa wamezikausha zinataka kuwa kama crips.
Nikacomplain naambiwa ulipress order ya french fries 🍟 wakati nlipiga simu kuwaambia kwa mdomo chips kavu 😂😂😂😂
Nafuaga mwenyeweDada wa kufua leo kaja
Issue sio kwamba mtu anavyopenda,issue ni kwamba kutuambia kua hiyo ni supu.😂😂😂
Sema kila mtu na anavyopendelea,. Kwangu Mimi napenda ndizi iwe laini
Msameheeni jamani 😂Issue sio kwamba mtu anavyopenda,issue ni kwamba kutuambia kua hiyo ni supu.
😀 😀
Mie bado natafuta "supu"Ndizi zimesimama kama ...