Mlo wa mchana supu ya ndizi

Mlo wa mchana supu ya ndizi

officialshilole-20250810-0001.jpg
 
Hell

Kwanza niliandaa ndizi zangu vizuri kama unavyo ziona wakat uho nyama ipo jikoni ina ivaa
View attachment 3437572
Kisha baada ya nyama kuiva nika weka karoti ya kusaga na ndizi
View attachment 3437573
Then nilitenga supu ile ya kwanza supu og ile nzitooo nikaweka mwishoni
View attachment 3437576
Ika tokota kidogo tu mambo yakawa bam bam
View attachment 3437577
Bashiri kidogo usihau na kalimao kidogo na pilipili ili muasho upatikane

Guys jifunzeni kupika mule kile kitu roho inapenda na akili ina taka
Bila kitunguu na Hoho ni ubatili kaka
 
Tafadhali nifungulie mlango, nakuja na beer 24 na wine chupa 2.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom