Mlipuko wa masalia ya mabomu Mbagal: Je, Dr. Mwinyi ajiuzulu?

Nyie subirini tu taarifa itakayotolewa na Jeshi mbona mtachoka.....Mara ya kwanza waliita ajali ka ajali nyingine...then wakaja na taarifa kua mabomu yote yameshateketezwa sasa siju hapa watakuja na lipi???

Mungu ibariki TZ
Poleni wafiwa na Kwa hao watoto wawili R.I.P
 
Dah nasikia majeruhi wamefikia kumi na moja mpaka sasa.
 
Jamani nasikia kuna mlipuko wa mabomu Mbagala kiasi cha kuleta vifo vya watoto wawili papo hapo na kujeruhi baadhi..



Tupeni news kwa walio karibu na eneo la tukio au hali inavyoendelea huko...
 
Last edited:
Nasikia ni kipande cha siku nyingi sana..... kimelipuka baada ya kuwashwa moto na mama mmoja na kusababisha vifo vya hao watoto waliokuwa wakicheza karibu na eneo hilo..

Jamani kwa mwenye kufahamu kuhusu hili tunaomba habari kwani nasikia mkuu wa mkoa na ambulance kibao zinaelekea huko.
 
ni kwa vile mbagala sikumbuki kuona mashangingi na manissan ya namba za STyakiongozana huko kupeleka wakuba na ving'ora, ingekuwa wilaya ya kinondoni wanakoishi wakubwa wa nchi hii ungeshangaa ambavyo tungepekuliwa hadi kwenye chupi kuhakikisha hakuna mabomu wa hatari iliyojificha. Ukweli hiyo si haki, walitutangazia kuwa kazi ya mabomu imeisha kamilika, wananchi warudi kuendelea na maisha yao na wakarabati nyumba zao, kumbe hawakufuatilia kabisa, hakuna alieuona huo kuwa ni uzembe unampasa mtu kuwajibika walau kwa kujiuzuri, kila mtu ameendelea na cheo chake na zaidi kanufaisha mfuko wake katika zoezi la tathmini na kugawa misaada, MUNGU awape nini, wanatamani mabomu yalipuke na kwingine wakaneemeke. MJOMBA IWAPI AHADI YAKO YA MAISHA BORA KWA KILA MTZ? MIE NATAFUTA NAULI NIKIPATA UTANIKUTA SEBLENI KWAKO IKULU NIKULETEE SALAMU ZA WALIOKUPA KURA ZAO KWA KISHINDO. I am deeply disappointed with your GOVERNMENT mr jakaya.
 
Poleni wazazi wa watoto waliofariki katika huo mlipuko,staki ku-comment chochote kwa habari ya hii nchi maana nimechoshwa na yanayoendelea.
 
Tulikuwa tunasikia mambo haya huko Angola na Msumbiji sasa yako uani petu na Wakuu wame relax wanakula kuku na kujadili jinsi ya kuwamaliza Wabunge wapiga kelele juu ya ufisadi (pengine wakisema ya Mbagala ni minor issues).
Pengine wamesha conclude kuwa tutawafanya nini sisi Wadanganyika?
By the way, Ule mradi wa panya wa SUA si ndio ungekuwa wakati wake kuonyesha kuwa hatukuwa tunapoteza bure pesa za walipakodi juu ya utafiti huo wa uteguaji mabomu?
 
Tulikuwa tunasikia mambo haya huko Angola na Msumbiji sasa yako uani petu na Wakuu wame relax wanakula kuku na kujadili jinsi ya kuwamaliza Wabunge wapiga kelele juu ya ufisadi (pengine wakisema ya Mbagala ni minor issues).
Pengine wamesha conclude kuwa tutawafanya nini sisi Wadanganyika?
By the way, Ule mradi wa panya wa SUA si ndio ungekuwa wakati wake kuonyesha kuwa hatukuwa tunapoteza bure pesa za walipakodi juu ya utafiti huo wa uteguaji mabomu?

Yeah hapo umenena, wangeagiza wataalamu kutoka SUA, ila kama hawakuambiwa waende hawawezi kujipeleka wenyewe ukizingatia serikali ya CCM inalichukulia hili swala la mabomu km la kisiasa zaidi kuliko kitaalam...BTW ule mradi pesa yooote inatoka ubelgiji!
 
boring news tangu kipindi kile yamelipuka wakasema wanaleta wataalam kutegua mabomu iliishia wapi ,
Ningekuwa na uweze wa kuwaambia walipi vifo vya hawa watoto kweli wangelipa ..ile mala ya kwanza na pili yes ilikuwa bahati mbaya and now??:(
 
Nasikia Lukuvi kesha sema ni Bahati mbaya ivi jamani ni serikali gani hii ambayo kwake kifo ni bahati mbaya? Kosa lilitendeka mwnzo wakasema wanaleta wataalamu wa kutegua yote eti leo mtu anakuja kusema bahati mbaya asee sijawai ona serikali inyocheza na maisha ya watu kiasi hiki.......
 
Mimi napenda sana kumsikiliza Mwanakijiji kwenye blog yake.
Member mkipata muda jaribu kusikiliza record yake kuhusu hii ya mabomu.
 
Mimi napenda sana kumsikiliza Mwanakijiji kwenye blog yake.
Member mkipata muda jaribu kusikiliza record yake kuhusu hii ya mabomu.


naomba blog za mwanakijiji niende fasta nikacheki labda nitapata la maana huko maana huu uswahili wa nji hii umekuwa 2 much
 
Jamani hivi hii serikali yetu inatupeleka wapi? We Mrisho una tupeleka wapi watanzania wako? Yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania? mbona tunashuhudia vifo vya kizembe namna hii nawe umekaa kimya tu? Au kwa vile Ikulu haiko Mbagala? Kumbuka wananchi hao hao wa Mbagala ndio walokupa wewe kura za kukuwezesha kula.

Uliruhusuje wananchi wa Mbagala kuruhusiwa kurudi majumbani mwao (Mbagala) tena na fidia zikatolewa wakati wewe na serikali yako hamkuwa na uhakika kuwa mahali pale ni salama? Hebu jeshi liwajibike katika vifo hivi ni aje wawe hawakumaliza mabomu yote? Hivi ni lini tutafikia mahali pa kuwawajibisha wewe na serikali yako kwa uzembe huu wa serikali yako?

Nasikitika sana kuwa hamu na uaminifu wangu kwako na serikali yako imefikia tamati sina uhakika kama mwakani nitakupa kura yangu tena.

Aksante.
Poleni wafiwa na majeruhi MUNGU awape nafuu

Kipo kitu kinachofichwa katika sakata la mabomu Mbagala. wanasiasa wanasema ouongo kuficha ukweli na wanajeshi wananyamaza kimya ili hali watu wanakufa na kupata majeraha.
Fo the last three to four weeks mabomu yaikuwa yanalipuka usiku wamanane( saa 8 na 90. nilipomuuliza mjeshi mmoja wa kambi ya mbagala akasema hakuna kitu. Ni kamuuliza Mzee mmoja (mfanyabiashara) wa pale Kibonde-maji akasema "Ni kweli ni mabomu wanayalipua usiku wao(wanajeshi) wanasema wanayalipua kiutaalamu zaidi ndiyo maana wanaifanya kazi hiyo usiku." Kwangu ikawa inazidi ???????

Mbona Mwinyi hatuoni kujiuzuru? Maana atakula kauli zake mwenyewe. Mbona hatuoni serikali kuiachia ripoti ya wala-fedha (wana-Tume) ya Mbagala kuanikwa au kusomwa hadharani.Aibu ya madudu yalimo katika kutaka kuficha ukweli.

Shame, Shame upon them who stay in air-conditioned offices roaring here and there while Tanzanian(KCC) children are becoming deaf and others are dieing because of Mbagala Camp bombs.
 
halafu mnasema jeshi lina vifaa? mbona wanashindwa hata kugundua mabomu yaliyo jichimbia ardhini?
 
heshima wana JF,
katika kumbukumbu zangu nakumbuka kuwa mh waziri aliahidi iwapo ile milipuko ya mbagala ingegundulika kama ilitokana na uzembe wa jeshi lake basi angejiuzuru, sasa cha ajabu jana tumeshuhudia watoto watatu wamefariki kutokana na mabomu ambayo yalizagaa baada ya kulipuka, leo mkuu wa mkoa wa dsm mh Lukuvi anatuambia kuwa wameunda task force kwa ajili ya kukagua nyumba hadi nyumba kukagua kama kuna mabaki ya mabomu, kwa hiyo uwezo wakutafuta na kugundua mabomu yaliyojificha au kuzama ardhini wanao, sasa kwanini hawakufanya hilo mapema hadi watu wanaendelea kupoteza maisha, sasa swali hapo mh waziri mwinyi anataka kusibitisha uzembe gani tena??? kama jeshi lake limezembea kuondoa mabaki ya mabomu hadi yanasababisha maafa?
mh waziri mwinyi inatosha na sasa chukua hatua
 
Last edited:
Kwanza huyu alikuwa hafai kabisa kuwa waziri wa ulinzi. Wangempa wizara ya afya ningeona kuna tija.
 
Kwanza huyu alikuwa hafai kabisa kuwa waziri wa ulinzi. Wangempa wizara ya afya ningeona kuna tija.

Wizara ya afya ya nini?Wamrudishe muhimbili tu akatibie wagonjwa kuna internist wachache pale
 
Back
Top Bottom