Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,338
- 4,381
Sharti gani Hilo mama..??
Kuna uzi nakutagSharti gani Hilo mama..??
Sharti gani Hilo mama..??
Kuna uzi nakutagSharti gani Hilo mama..??
Ni WatamuWadau nimepata kamke kanapenda kucheza mpira yupo vizuri kwenye soka unaweza ukadhani mwanaume japo uzuri wake hujapotea bado anaonekana ana umbo la kike.
Niliwahi kusikia wadada athlete wana pumzi wanakupelekesha, hebu wazoefu naombeni ushauri.
Eeh bwana sema kweliNi Watamu
ǟǟǟǟɦ ʍաɛռʏɛա ռʍɛǟʍɮɨաǟ bnaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Aisee sijawai kuwa mdadisi kutaka kujua KILA nation wana maumbo gani?...
We enjoy too Mkuu mambo yako.
Una bahati, massage kila usiku unapata kwa mwili uliokakamaa, sio nyama uzembe kama siponji.Bounsa wangu mie,huwa namwomba Mungu usiku usifikeView attachment 1584249
Sio kukupenda.... nimeulizia KUMPANDANimempenda ila nasikia stori zao kwamba ni shughuli kudate nao
Sent from my itel it1408 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hvi nyuzi zetu zimefutwa au kwangu tu?nyuzi zangu sizioni
Hee!za kwangu pia hazipo
jaman warudishe muundo wa zamani tu
Kama wamefuta nitafurahi 😂😂😂
Pole mkuuMkuu hapo usiachie komaa nae huwa waelewa na wapo vyema sana.. Bora we umepata wengine huku tumepatikana!.. nilienae kabobea kwenye uchawi nimeshazoea fisi ni kama mbuzi tu..😂
😂😂😂😂 mbavu zangu jamanMkuu... Kibamia chako mbona yule mfanya mazoezi muscle za KILA sehem zimebana. . Anakufaa yule
ahhahaha zitarudi hahah
Duu mke wa obama anafanyaga mazoezi?ndio maana mzuriKamuulize Obama aliwezaje kuishi na yule mwanamke anayeamka saa kumi usiku kufanya mazoezi