Mliowahi kudate na wanawake athlete

Mliowahi kudate na wanawake athlete

Mkuu hapo usiachie komaa nae huwa waelewa na wapo vyema sana.. Bora we umepata wengine huku tumepatikana!.. nilienae kabobea kwenye uchawi nimeshazoea fisi ni kama mbuzi tu..[emoji23]
Uchawi haupo, usiogope kitu ambacho hakipo.Acha kuilemaza akili yako.
 
Wadau nimepata kamke kanapenda kucheza mpira yupo vizuri kwenye soka unaweza ukadhani mwanaume japo uzuri wake hujapotea bado anaonekana ana umbo la kike.

Niliwahi kusikia wadada athlete wana pumzi wanakupelekesha, hebu wazoefu naombeni ushauri.
Yaani bado huja mvunja?
 
Ngoja nipige pass OG zangu nitajibu badae mana kesho nakikao...
 
Ni watamu sana maana mazoezi wanayofanya yanaifanya mbunye iwe mnato.

So enjoy jombaa
 
Back
Top Bottom