Hello wana JF ambao mpo huko nje bei ya sangara wenye label ya Eco kwenye supermakert za huko mnanunua shilingi ngapi? Bidhaa ya namna hiyo yenye nembo ninayozungumzia inatoka Tanzania tu hakuna nchi yoyote East Africa iliyopo kwenye mpango huu!
Tunapenda kujua ili sisi kama wajasiliamali wavuvi wadogo tuweze kuwabana wenye viwanda tupate bei ya juu kidogo kwani end consumer analipa cha juu kidogo kama premium kwa kununua samaki wenye label kwani samaki hao ni wale wanaovuliwa kwa kanuni bora na zinazohifadhi mazingira ya ziwa!
ASANTENI.