mliopo nje ya Tanzania bei ya fillet sangara yenye label ya Eco(Eco-Label)

kajansi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
485
Points
0

kajansi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
485 0
Hello wana JF ambao mpo huko nje bei ya sangara wenye label ya Eco kwenye supermakert za huko mnanunua shilingi ngapi? Bidhaa ya namna hiyo yenye nembo ninayozungumzia inatoka Tanzania tu hakuna nchi yoyote East Africa iliyopo kwenye mpango huu!

Tunapenda kujua ili sisi kama wajasiliamali wavuvi wadogo tuweze kuwabana wenye viwanda tupate bei ya juu kidogo kwani end consumer analipa cha juu kidogo kama premium kwa kununua samaki wenye label kwani samaki hao ni wale wanaovuliwa kwa kanuni bora na zinazohifadhi mazingira ya ziwa!

ASANTENI.
 

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,728
Points
2,000

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,728 2,000
Mkuu hata kama bei ikiwa juu sana wewe unazani mpka kufika Ulaya ni Mchezo? hapo kuna ghalama kibao ikiwemo ku process, kupaki, kusafirisha na kusambaza,
 

kajansi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
485
Points
0

kajansi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
485 0
Mkuu hata kama bei ikiwa juu sana wewe unazani mpka kufika Ulaya ni Mchezo? hapo kuna ghalama kibao ikiwemo ku process, kupaki, kusafirisha na kusambaza,
Nakubaliana na wewe mkuu ila ni lazima husiwe gizani angalau uwe na idea uweze kupress negotiation! huwezi kuwa gizani ukawa na bargaining power kwani tuna uzoefu jinsi makampuni ya kibiashara yasivyokuwa wazi inapofikia hatua ya faida!
 

Forum statistics

Threads 1,389,292
Members 527,888
Posts 34,022,355
Top